Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Mimi siyo mwandishi mzuri sana. Ni msanii wa mjini tu, najua kukuimbisha ukaelewa somo na ukafanya maamuzi sahihi.
Baada ya Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA kukamilika hapo 22 January 2025. Wamejitokeza watu wengi sana kutaka kujiunga na CHADEMA.
MAONI YANGU:
Baada ya Mkutano wa Baraza Kuu la CHADEMA kukamilika hapo 22 January 2025. Wamejitokeza watu wengi sana kutaka kujiunga na CHADEMA.
MAONI YANGU:
- CHADEMA kupitia uongozi wa wilaya na Kata kufufua matawi na misingi yote nchi nzima ili kuwapokea na kuwasajili wanachama wapya.
- CHADEMA isitumie makao makuu pekee kwa shughuli za kupokea wanachama.
- Chama kianze kujengwa huko chini ili kuipa nguvu sera ya Lisu ya kuwapa nguvu wanachama kuliko chama kuwa ni makao makuu pekee
- Fungate la ushindi lisiwe la muda mrefu maana Oktoba haipo mbali