J Jews4ever Member Joined Jul 21, 2009 Posts 74 Reaction score 0 Sep 9, 2009 #1 Nawapongeza chadema kwa mkakati mzuri wa kutafuta wanachama ndani ya nchi Tanzania. Nashauri waanzishe na mkakati wa kuandikisha uwanachama wa Chadema kwa walioko nje ya nchi.
Nawapongeza chadema kwa mkakati mzuri wa kutafuta wanachama ndani ya nchi Tanzania. Nashauri waanzishe na mkakati wa kuandikisha uwanachama wa Chadema kwa walioko nje ya nchi.
Josh Michael JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 2,523 Reaction score 87 Sep 9, 2009 #2 Kazi nzuri sana na pia wana mikakati kama hiyo