Kuna haja ya kuwaita Wakubwa wa Mahakama ya haki za binadamu waje kuchunguza haya mauaji na vitendo vingine vya ukiukwaji wa HAKI za BINADAMU hapa Tanzania.Nadhani sasa Tanzania imeingia kwenye hatua tofauti kabisa. Sijui kama tutarudi tena katika hali iliyo kuwepo huko nyuma.
Inaelekea kuna kundi ndani ya jeshi la polisi ambalo tayari lipo vitani.
HAPANA.Ukiona Maiti ya wanaume wawili Popote tafadhari wasiliana na Chadema
Mnyika keshapatikana lakini John Heche inasemekana alipigwa vibaya asubuhi na kutekwa na jeshi la polisi hajulikani alipo.HAPANA.
Achana kabisa na lugha ya namna hii wakati huu.
Polisi wa taifa gani wanaulizagwa kupitia mtandao wa X? Haya ngoja nikujibu kwani mimi ni polisi: tunao hapa hao unaowaulizia, tunawapa displine kidogo ya kuruka ruka kichura baadaye tutawarudisha kwa wake zao.Polisi si ndiyo waliwakamata ulitaka aulizwe nani sasa?
Kwanza tuanze sisi wenyewe kuwatambua wahusika wa maovu haya, mmoja baada ya mwingine; ili hapo itakapokuwa sahihi kuwaita hao wakubwa iwe rahisi kuwasilisha taarifa kuliko kuzungumza kijumla jumla tu.Kuna haja ya kuwaita Wakubwa wa Mahakama ya haki za binadamu waje kuchunguza haya mauaji na vitendo vingine vya ukiukwaji wa HAKI za BINADAMU hapa Tanzania.
AbsolutelyKuna watu wana upeo mdogo sana wa kuchanganua mambo