Wewe umerudi kuja kupata aibu yako hapa?Chadema watapata kura kibao toka hapa JF....! Lakini sio huko kwenye wapigaji wa kura halisi.
Sidhani kama la msingi ni Idadi ya umati wanaofika kwenye mikutano, mimi wasi wasi wangu je wale wanaotumia wino kwenye kikaratasi cha kupigia kura, wale watakao weka Vema kwenye hilo karatasi na kulitumbukiza kwenye box la tume ya Uchaguzi wamefikiwa, maana wanaokuja mikutanoni wamo na wasio kuwemo. Ukiangalia hizo picha hapo mimi naona utofauti wa wazi kabisa.mwaka huu ni zamu yenu kulinganisha umati kwenye mikutano, mmesahau dharau yenu wakati wa mikutano ya mrema.
Nipo Mkuu, kushuhudia ndoto za mchana za Chadema.... by the way huyo jamaa yenu ni silaha ya aina gani?Wewe umerudi kuja kupata aibu yako hapa?
Ulikimbia sasa wakati wa kampaini mtani wangu naona umerudi. Karibu lakini pigo lako liko njiani maana nimejichimbia huku kijijini nafanya kampeni achaguliwe Dr silaha ili mpate cha mtema kuni.
Chadema watapata kura kibao toka hapa JF....! Lakini sio huko kwenye wapigaji wa kura halisi.
Leta mifano hai ya haya madai yako, yametokea wapi na lini na yamesababishwa na nini na kwa vipi yameweza kutokea?Semeni tuu Chadema watapata kura hapa JF, hivi kweli mtu na akili zake timamu (kama sio mbinafisi asiyejua shida, asiyejua kuna watu wanakufa kwa sababu tu alikumywa maji machafu, kuna watu hawajui kesho atakula nini, aliyelewa na matunda/matokeo ya ufisadi) anashabikia CCM?? lol, Ndugu yangu tumia akili yako iko siku utajuta, maana yana mwisho! Chini ya jua hakuna kinachoshindikana. Mungu ni wetu sote!!!
Nimekusoma mkuu, moja ya sababu ya kuwepo na ushindani wa hali ja juu katika chaguzi za Tanzania Visiwani, ni kwa vyama kujua wapiga kura wao. Kwa mfano Diwani katika wadi yake anauwezo wa kujua zaidi ya asilimia 90 ya watu watakaompigia kura siku ya uchaguzi. Hivyo kuanzia siku za kampeni huweza kuwa nao sambamba na siku ya kupiga kura huhakikisha kuwa asilimia yate anayoijua kumpigia kura inafanya hivyo. Hii ni pamoja na hata wagonjwa waliolazwa sipitali.Kibunago ndio maana majimbo ya kwenye miji mikubwa yako nyuma kwa mageuzi, yapo nyuma kwasababu wapiga kura wake sio wavumilivu kwenye karaha zinazoambatana na zoezi la kupiga kura, kwa mfano watu wa dar, wazee wa mishe mishe, wakati wa kuhakiki daftari la kupiga kura hawawezi kuvumilia kukaa kwenye mstari na jua kali au mvua kukamilisha zoezi, maana kwenye diary zao kuna appointment kibao. Lakini ukiangalia kwenye picha kuna kundi maalum la wapiga kura(utofauti wa wazi) ambalo naamini lina uvumilivu na linadetermine nani aongoze nchi hii, Kundi hili limefikiwa?
unataka mifano hai kama huishi tanzania unataka uonyeshwe matatizo hadi tarehe.......wewe kweli si kunywa maji ya bendera tu bali umelewa.Leta mifano hai ya haya madai yako, yametokea wapi na lini na yamesababishwa na nini na kwa vipi yameweza kutokea?
Simply, hakuna Mtanzania anayekufa kwa njaa, labda yatokee maafa kama tunavyoona leo huko Pakstani na China.unataka mifano hai kama huishi tanzania unataka uonyeshwe matatizo hadi tarehe.......wewe kweli si kunywa maji ya bendera tu bali umelewa.
Uko sahihi kabisa, lakini nadhani ni muhimu kutambua makundi ambayo hujitokeza kwa wingi kupiga kura, angalia hizo picha mbili, Moja imechukuliwa leo wakati JK akishukuru wananchi baada ya kurudisha form na nyingine Dr. Slaa akihutubia jangwani, angalia mitari miwili mitatu ya watu waliokaa mbele, alafu angalia uwiano huo mpaka nyuma ya picha zote mbili. Kuna kundi wanaweza kushawishiwa kuuza karatasi yake ya kupigia kura kirahisi na kuna kundi haliwezi kushawishika na vishawishi kuuza karatasi, kuna kundi kubwa kwenye mikutano, kwenye makanisa hawa huwa wengi kuliko wengine, nadhani wakipata meseji, na ujumbe unaowagusa ni rahisi kugusika mioyo yao na huwa wepesi wa kuona huruma, waambiwe ukweli juu ya wapi nchi inaenda nadhani hawa hawajafikiwa, WANAWAKE. Kuwe na mkakati makusudi wa kutafuta kura za wanawake, ni kundi muhimu sana kijamii, wanaweza wasiwe na ushawishi mkubwa lakini ni watu walio wengi.Hali hii ni pamoja kwa Wawakilishi na Wabunge. Uhamamishaji wa kupiga kura upo kwa kiwango cha hali ya juu sana, kuanzia kwa vijana wa miaka 18 hadi kwa wazee wa miaka zaidi ya 90.
If you want me to take your words [mia kwa mia]... Then vita iliyo mbele ni kubwa kuliko uwezo, na basi tuache tu!!!kumbuka chadema hawatumii fedha za mafisadi kueneza chama na kuhonga watu waweke bendera kwenye nyumba na magari watu wanaoipenda chadema ni wale wenye mapenzi ya dhati hawafuati kofia,chumvi kam a wana ccm ambao wengi wao akili zao ziko tumboni
kumbuka watu wakijiunga na vyama vya upinza ccm kupitia polisi huwaonea na kama ni mfanyabiashara huweza kufilisiwa ndio maana hatuweki bendera, pia kumbuka watendaji wa vijiji ni wana ccm hivyo hufuata maelezo ya wakubwa wao ccm
Asante kwa kubainisha wazi kundi moja la watu muhimu sana kwa mageuzi, hao watu badala ya kuwaona adui labda tubadirishe mtazamo, tuwaone ni watanzania ambao wapo hapo kwa ajili ya kupata riziki halali kama mtanzania mwingine anayefanya kazi nyingine, sasa basi wabaki kule kwenye upolisi wao au Utendaji kimwili, lakini imani yao na nia zao ziletwe kwenye mageuzi, siku ya kupiga kura wapigie Mageuzi ya kweli, Tumaini la kweli.kumbuka watu wakijiunga na vyama vya upinza ccm kupitia polisi huwaonea pia kumbuka watendaji wa vijiji ni wana ccm hivyo hufuata maelezo ya wakubwa wao ccm
Simply, hakuna Mtanzania anayekufa kwa njaa, labda yatokee maafa kama tunavyoona leo huko Pakstani na China.