CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

CHADEMA haina legitimacy ya kuokosoa Serikali hata kama kuna mapungufu ya kukabiliana na majanga. Kama Mbowe alitafuna bil 10 za chama. Hamfai kabisa

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
8,734
Reaction score
5,750
Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi.

Mlitafuna kama njugu pesa za umma. Nyie mna mikono gani mosafi kuilosoa serikali?

Aliyemsafi ndio akosoe.

Those with clean hands must come to Equity
 
Utetezi mfu, ukweli lazima usemwe. Palikuwa na uzembe mkubwa,
Desperate times always needs desperate measures.. Yule kijana alifika kwenye eneo la tukio kati ya watu wa kwanza.. Kwa hiyo ilibidi iwe hivyo ilivyokuwa.. Isingewezekana kusubiri watu wa uokoaji wafike wakati Ndege inaendelea kujaa maji..
 
Back
Top Bottom