Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Utetezi mfu, ukweli lazima usemwe. Palikuwa na uzembe mkubwa,Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi...
Sasa mliotafuna pesa za umma mna haki gani ya kulalama?Utetezi mfu, ukweli lazima usemwe. Palikuwa na uzembe mkubwa,
CCM hawatafuni mpaka Sasa?....hiyo Chadema haiongozi serikali acha ujinga.Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi...
Clean hands?Kwa hiyo chadema kutafuna pesa ndo serikali iokoe watu kienyeji vile
Zile route za kwenda ikulu hakutoka kapa!Kama unadhambi ya ubadhirofu wa pesa za umma ambazo kama Chadema wasingelipwa ruzuku na kuzitafuna taifa lingenunua vifaa vya uokozi....
We mpuuzi huna akili kaa kimyaMsukule wa lumumba umefufuka Tena tulizani umezikwa na jiwe
Sasa mliotafuna pesa za umma mna haki gani ya kulalama?
Umekurupuka?Sasa hivi CDM hawachukui ruzuku, mbona hamjanunua hivyo vifaa ili tujue kweli CDM walivyokuwa wanachukua ndio mkashindwa kununua?
Desperate times always needs desperate measures.. Yule kijana alifika kwenye eneo la tukio kati ya watu wa kwanza.. Kwa hiyo ilibidi iwe hivyo ilivyokuwa.. Isingewezekana kusubiri watu wa uokoaji wafike wakati Ndege inaendelea kujaa maji..Utetezi mfu, ukweli lazima usemwe. Palikuwa na uzembe mkubwa,
Mpuuzi wewe chawa wa wanaume Chadema inakuwasha Nini?We mpuuzi huna akili kaa kimya
NakupuuzaMpuuzi wewe chawa wa wanaume Chadema inakuwasha Nini?
Me nishakupuuza kitambo sana Wana mwanza hatuko hivyo wewe utakua mzirankendeNakupuuza
Haki yako kuamini upuuziMe nishakupuuza kitambo sana Wana mwanza hatuko hivyo wewe utakua mzirankende