Uchaguzi 2020 CHADEMA haina pesa za kampeni, tuongeze nguvu za kuwachangia

Tunachanga na tutaendelea kuchanga. Matajiri, akina Trump na Biden wanachangiwa. Iwe TL?
 
Mbona kuna mmoja anasema wanapewa lakini kidogo?

Maana ukitizama gharama zinazotumika si ndogo na halafu ukitizama vile vyama ambavyo havipati ata wabunge vinatumia hela kwenye kampeni, wanazitoa wapi?
 
Hazitoshi, ni kidogo sana.
Kama kiasi gani zinaweza kufika? halafu mgao unakuwa sawa au inategemea na idadi ya Wabunge kutoka bunge lilomaliza? Maana kupiga kampeni Tanzania nzima gharama ni kubwa mno itakuwa.
 
Acha umama.................
 
Kila nikisikia chadema wanachangisha wananchi kwa ajili ya kampeni huwa nawaza hivi kipindi wanapambana tupigwe lockdown wangefanikiwa tukafunga shughuli zetu na kujifungia ndani leo kweli tungekuwa na hiyo hela wanayoomba tuwachangie? Chadema na hasa bavicha tuepuke kutafuta kiki kwa kila kinacho vuma na upepo. Leo wote tungekuwa ndani maboya nyie msingepata hata 100 ya diesel za yale makopo yenu ya M4C
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…