mtoto wa mchungaji
JF-Expert Member
- Oct 24, 2020
- 279
- 480
Nimemsikiliza Lema na wana Ufipa wengine bado naona Chadema hakijifunzi kwani ni wepesi sana kuhamishwa, hakina senta of interigensi, usemaji, mipango, mbinu, inafikia hatua wanasahau kama mwenyekiti anatupia ndoo.
Huu ulikuwa wakati mzuri sana wao kutulia na kukiangalia kimbunga cha CCM na kutengeneza stratejiki nzito lakini CCM wanajifunzaga kutoka kwa Chadema kwa sababu midomo yao ni mipana sana hawawezi kukaa na kitu hata dakika 1.
Mara utakuta wanawakumbusha vifungu vya sharia kama wamesahau na vingine vingi. mimi zamani nilikuwa najua CCM ni vichwa lakini baadaye nikaja kugungua kumbe Chadema ndiyo vichwa wanawasaidia kila wakitaka kufanya kosa wanarekebisha kutokana na midomo mipana ya Ufipa. Kwa kifupi Ufipa wako speedi 180 hata katika kona kali. Mfano ishu ya ndugai hamkutakiwa kuingilia zaidi ya kusoma mchezo kwa mbali.
Ukiwasikiliza unaweza changanyikiwa kuwa Ndugai kawa mtu mzuri au mama kawa mtu mzuri au nani kawa mtu mbaya. Tulieni CCM imezeeka ila wajukuu hamjatulia hamtapata urithi mapema. Chadema hakijui mambo ya kufanya kama short run na haya ya kufanya kama long run vyote wanachanganya ndiyo maana utasikia CCM itatawala milele wakati si kweli kilakitu chini ya jua lazima kife na kije kingine. tulieni na kuweni wavumilivu mnategemewa.