CHADEMA: Hamtafanikiwa kwa MAANDAMANO zaidi zaidi mnaonekana matapeli tu wakisiasa

Kikwava

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2015
Posts
1,741
Reaction score
1,068
Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.

Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.

Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.

Ndugu Watanzania tuwapuuze Chadema hiki chama ni chama Cha vurugu nchini
 
Watanganyika tutaandama ila nyinyi watanzania kalaleni
Free Tanganyika
 
Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.

Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.

Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.

Ndugu Watanzania tuwapuuze Chadema hiki chama ni chama Cha vurugu nchini
Mkuu taja vurugu imewahi kuletwa na Chadema kupitia maandamano. Ama kweli tunavilaza kibao, Polisi wapige watu chadema ilaumiwe!!

Na kama kweli Chadema inafanya siasa ya kamali, kwanini unawashwa ili hali wewe sio mwanachama.

Mkuu acha uongo una maana familia za viongozi wa Chadema mpaka vijijini familia zao zipo ughaibun??? Tunga uongo mwingine ila huu umebuma!

Maandamano yameeshaanza polisi kama watanzania na raia wameishiangia barabarani kuyafungua, au hujawaona!!

Au unataka kusema nao familia zao zipo ughaibun???
 
Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.

Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.

Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.

Ndugu Watanzania tuwapuuze Chadema hiki chama ni chama Cha vurugu nchini
Sasa kama hayatafanikiwa kwanini kuna ulinzi wa kutosha kila kona ya jiji?
 
Maandamano ni haki yao kikatiba, kwanini mnapata tabu wakiandamana?
 
Back
Top Bottom