CCM ni Chama Cha MajuhaChadema wapuuzwe
Mkuu taja vurugu imewahi kuletwa na Chadema kupitia maandamano. Ama kweli tunavilaza kibao, Polisi wapige watu chadema ilaumiwe!!Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.
Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.
Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.
Ndugu Watanzania tuwapuuze Chadema hiki chama ni chama Cha vurugu nchini
Sasa kama hayatafanikiwa kwanini kuna ulinzi wa kutosha kila kona ya jiji?Husika na mada tajwa hapo juu;
Chadema Ni chama kinachofanya siasa mfano wa kamali.
Niwaase CHADEMA hii nchi yetu si PAHALA pa kufanya VURUGU.
Tunajua viongozi wa chadema familia zao zote zipo ughaibun, tunaomba Msiwaponze watoto wa wenzenu wakaumizana kwenye maandamano.
Ndugu Watanzania tuwapuuze Chadema hiki chama ni chama Cha vurugu nchini
Kuna ulinzi wa kutosha au Polisi wanekumbwa na kiwewe nchi nzima?Sasa kama hayatafanikiwa kwanini kuna ulinzi wa kutosha kila kona ya jiji?