View attachment 3525091
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.
Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.
John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
Mechi ya team ya ccm na Moroco ni saa ngapi?View attachment 3525091

Kilo moja ya kitimoto ya kuchoma ni shilingi ngapi hapo kwenye ofisi za ccm?Niliwasema CHADEMA katika nyuzi zangu kama mbili au tatu lakini baadhi ya watu hawakunielewa
Watakumbuka shuka asubuhi
CHADEMA hawafai kushauri
Ile inapatikana mafichoni mali adimuKilo moja ya kitimoto ya kuchoma ni shilingi ngapi hapo kwenye ofisi za ccm?
Mbona umeandika hoja mbili zinazokinzana?Chuo mi nimemaliza 2012
Umeandika usenge tu na matamanio yako, Chadema hadi sasa kimezuiwa na mahakama kufanya kazi zake za kisiasa hivyo hakuna mtu anayeweza kumlaumu Heche kuwa hafanyi ziara, au unajisahaulisha ule moto aloukuwa anawapelekea CCM kwenye mikutano ya NRNE hadi CCM ikaamua kutumia Mahakama na ofisi ya Msajili wa Vyama kuisaidia kupambana na Chadema. Jaribuni kuifuta muone mtakavyoharakisha anguko la dikteta Samia.View attachment 3525091
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.
Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.
John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
View attachment 3525091
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.
Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.
John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
Uchaguzi wa chama kikubwa kama chadema haufanyiki vichochoroni. Wameshaondoka wanachama kibao lakini cdm bado ipo na wao ndio amepoteaView attachment 3525091
Ndani ya Chama Cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA hali si shwari baada ya baadhi ya wanachama kutaka kuingia kwenye Uchaguzi ili kumchagua Mwenyekiti baada ya Tundu Lissu kusota Rumande kwa mda mrefu ambapo kijana Makini John Mnyika huenda akashika wadhifa huo kwani anaungwa mkono nje ya Chama.
Awali iliibuka minong’ono kuhusu John Heche lakini hulka yake ya Uhuni. Misimamo yake na kutochagua maneno ya kuongea vimemuweka kando na Kundi kubwa la wanachama linaisukuma agenda hii ili Mwenyekiti wa Kuchukua nafasi ya Lissu apatikane kabla ya April 2026 .Tundu Lissu ambaye anasubiri vikao vya mahakama kuu ifikapo February 2026 ili kesi yake ya Uhaini iendelee.
John Heche pia analaumiwa kutofanya ziara zozote za kukijenga chama mikoani na Badala yake amekifanya Chama kuwa cha Mitandaoni tuu bila kuweka mizizi kwa wananchi hasa vijijini ambako hawana uelewa na masuala ya Mitandaoni
Hawa jamaa ni useless wao wakishiba wanadhani wote ni hivyo hivyo.Mimi sielewi wenzangu munawazaje, au ndio Malipo munayopata yanawafanya vichwa visiwaze vizuri.
CDM inaweza kufutwa, kuuwawa na Serikali, lkn haimaanishi CDM ikifa ndio CCM itapendwa, kuiua CDM vizuri ni Serikali kutenda haki, kujali wananchi, viongozi kuacha rushwa, huduma bora za afya na kijamii, hiyo ndio njia nzuri ya kuiua CDM, Ila kutumia njia za panya ilhali wananchi hawaelewi kesho yao ni kujidanganya.
Chadema inakutesa sana Yeriko NyerereNiliwasema CHADEMA katika nyuzi zangu kama mbili au tatu lakini baadhi ya watu hawakunielewa
Watakumbuka shuka asubuhi
CHADEMA hawafai kushauri
Itafika siku watamuona Lissu kama giza la CHADEMA
Nyinyi wapuuzi hamjawahi kuwa na maslahi kwa nchi! Muda wote huwa mnayawwazia matumbo yenu tu na namna ya kuwahujumu wapinzani/wakosoaji wenu kwa kuwafunga, kuwateka, kuwaua, kuvifanyia figisu vyama vilivyo sajiliwa kuhalali, nk.View attachment 3525091