CHADEMA hawakujifunza Septemba 23?

Chadema ni lini watapata funzo kuwa wananchi hawataki upuuzi wa maandamano basi wameshindwa kutumia njia mbadala kuhamasisha wanachama wao kujiandikisha wanaBwaza upuuzi kila kukicha usio na mafanikio!
Ni kweli... Kwenye hili wanakosea. Walipaswa kwenda mahakamani kuomba mkazo kwenye hukumu ya wakurugenzi wa majiji na halmashauri kusimamia uchaguzi.
 
Kama vile haupo Tanzania! Siku kabla ya siku yenyewe hukuona vitisho vya jeshi la polisi.
Wengi wanashindwa kukujibu wakidhani hauko sawa kichwani!
 
𝕀𝕝𝕖 π•™π•¦π•œπ•¦π•žπ•¦ π•šπ•π•šπ•₯π•–π•Ÿπ•˜π•¦π•π•šπ•¨π•’ π•Ÿπ•’ π•žπ•’π•™π•’π•œπ•’π•žπ•’ π•ͺ𝕒 π•£π•¦π•—π•’π•Ÿπ•š.
 
Kama vile haupo Tanzania! Siku kabla ya siku yenyewe hukuona vitisho vya jeshi la polisi.
Wengi wanashindwa kukujibu wakidhani hauko sawa kichwani!
Mbona Mbowe na mwanawe walijitokeza!
 
Kama vile haupo Tanzania! Siku kabla ya siku yenyewe hukuona vitisho vya jeshi la polisi.
Wengi wanashindwa kukujibu wakidhani hauko sawa kichwani!
sasa waandamanaji wanaogopa polisi ? unaona waandamanaji wa kweli wa kenya walikuwa wanaandamana na wanajeshi wako mitaani chadema hakuna kitu hapo upinzani wa kudumu hawana mvuto pia
 
Chadema n kichwa cha mwendawazimu.

Mm Nasubir maandamano ya wananchi wnyw kuipinga serikali na sio maandamano kuratibiwa na chama cha siasa.
 
sasa waandamanaji wanaogopa polisi ? unaona waandamanaji wa kweli wa kenya walikuwa wanaandamana na wanajeshi wako mitaani chadema hakuna kitu hapo upinzani wa kudumu hawana mvuto pia
Umemchana akikujibu niite!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…