CHADEMA hawawaaminii polisi halafu wanawaomba polisi kulinda maandamano yao?

Wanafata sheria
Kuwaamini na kuwataka wawalinde Is two different thing Sir

Sheria inataka hivyo ya vyama vya siasa na ya Jeshi letu la polisi
Unalindwa vipi na mtu usiye muamini IF I MAY ASK SIR?
 
Unalindwa vipi na mtu usiye muamini IF I MAY ASK SIR?
Kuamini na kufata sheria aviakai nyumba mojaa

Kwa maana nyingine

Kama huamini sheria ,sheria haiachi kukushughulikia Sir

So wanakwepwa kuingia kwenye mgogoro wa kisheria na vyote unavyosema wanajua
 
Wanafuata sheria inasemaje ndugu yangu, ni sawasa kabisa kama vile walivyopigwa marufuku, lakini wakaangalia msaafu unasemaje. Msaafu unataka kuwataarifu tu polisi ili watoe ulinzi.
Niko hapo hapo= mgoni wako umpe kazi ya kumlinda mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…