Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandamano yanakuathiri vipi wewe??Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.
Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
Mkaandamane moshi, biashara za shangazi zenu zivurugwe,wapigwe marungu piaPakiti moja tu ingeondoa huu ushuzi hapa
Wamekualika ukaandamane nao au ni kiherehere chako tu?Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.
Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
Nyege ni sehemu ya mwili uliokamilika.Umeshupaza kiuno unaogopa maandamano?Ukifikia umri wetu itakuaje?Hama mji.Kaa na familia yako home dogo... Acha nyege
Dady makalio?Acha watu waandamane.Wewe osha vyombo na uogeshe watoto.Umri wako upi..mi nastaafu mwakani. Take Care. I'm your Dadyyy...😂
Ninakuuliza wewe , maana Mbowe hajaileta hii mada.Hilo swali Muulize Mbowe...
Kichwa chako kipo kwa ajili ya kutenganisha masikio only.Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.
Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
Hakika pelekeni huko Moshi tutaona mna dhamira ya kweliHakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.
Kinyume na hapo ni Usxnge tu.