CHADEMA haya maandamano kafanyieni Moshi.

blogger

JF-Expert Member
Joined
Mar 13, 2012
Posts
12,112
Reaction score
15,060
Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.

Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
 
Hao ni wazee wa kutukana mitandaoni tu, hawawezi kuandamana
 
Acheni USECCNGE CHADEMA
 
Kwani Moshi iko utumwani hadi ikombolewe?

Mbona haina uhusiano na maandamano.
 
Hakika maandamano haya yakifanyika Moshi . Mtakua mmeonesha nia na dhamira ya kweli ya kuikomboa nchi.

Kinyume na hapo ni Usxnge tu.
Hakika pelekeni huko Moshi tutaona mna dhamira ya kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…