CHADEMA, haya ni mapendekezo ya wapi mujenge Makao Makuu ya Chama

CHADEMA, haya ni mapendekezo ya wapi mujenge Makao Makuu ya Chama

Paf

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2021
Posts
1,703
Reaction score
3,307
Ndugu wanachadema,

Miongoni kwa mipango mikubwa iwe nikujenga ofisi za chama (CHADEMA HQ)

Hapa ni mapendekezo ya mikoa:

1. MOROGORO
2. SINGIDA
3. KIBAHA.
4. DODOMA.

Kipaumbele ni No 1
Litafutwe eneo kubwa nje ya mji.

Maoni yangu,

Maoni yako je
 
Mbona hakuna aliependekeza makao makuu yawe Pemba?
Sasa Pemba kuna chadema? Strong hold ya Pemba ilikuwa CUF baadae ukahamia ACT sababu kiongozi waliyekuwa wqnamtaka ni maalim Seif ambaye ni Mpemba.
 
Ufuasi wa itikadi ya chama ni imani. Makao makuu ya Imani ya mtu yako moyoni kwake.

Hivyo makao makuu ya chama (chadema) chenye itikadi ya kisiasa (Imani) yanapaswa kuwa moyoni.
 
Chadema kukosa makao makuu Ni aibu kubwa, wanashindwa kupitisha hata harambee ya shilingi bukubuku kwa mashabiki wao....kupanga pale ufipa wamechemshaaa
 
Ni kwa sababu hujui history ya nchi hii kwamba hata makao makuu ya TANU na baadaye CCM yalikuwa Lumumba street, Dar na yakahamia Dodoma.

Ukilaza wako wa history unatokana wewe na wenzako kujikita na ufundi mchundo pale FOE na wataalam wa History mkawaita "mangwini".

Rudi darasani
Ufipa Dar siyo makao makuu?
 
Back
Top Bottom