Kuna baadhi ya maeneo ya Tanzania kuna watu wanafanya kampeni very creative.
Kuna mzee huwa anapanda daladala toka Kyela anakuja nayo mpaka boda/Kasumulu na kushuka.
Akiingia huwa anawaongoza watu wote sara ya kuombea uchaguzi wa amani then baada ya sara anawaambia watu ujumbe wake ambao ni kuwa CCM imechoka kazi sasa ni zamu ya CHADEMA vinginevyo maisha yataendelea kuwa magumu daily.

Nasikuzote tunasema hiki CHADEMA ni mtandao wa kikatoliki, kampeni zao makanisani, maombi kwa yesu ndio sera zao.
Subirini kama mtashinda kwa maombi, yangekuwa yanasaidia mchungaji Slaa asingekimbia kanisani kukimbilia siasa
Tunataka sera sio maombi. Kumchagua Slaa nikuangamiza nchi !!!