Pre GE2025 CHADEMA hii ni dhaifu, haiwezi kushindana na CCM

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

mapessa

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2014
Posts
664
Reaction score
1,168
Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa
fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa.

Chadema inakabiliwa na ukata mkali hivyo kushindwa kujipanga kifedha kwa ajili ya shughuli zake za ndani, haswa zile zinazohusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na kuandaa mkutano mkuu wa chama taifa unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

- Ukosefu wa Fedha:
Mbowe amesisitiza kwamba kanda zote zinatakiwa kuchanga Fedha kwa ajili ya makao makuu katika mkutano mkuu wa chama Taifa vilevile wanahitajika kujitegemea kifedha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na kuacha kutegemea fedha kutoka makao makuu.
naiona chadema ikishindwa vibaya sana na CCM kwenye chaguzi zinazokuja.

Hali hii inaonyesha changamoto za kifedha ndani ya chama, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na uwezo wa kugharamia shughuli zake muhimu za kisiasa na kushindwa kujiendesha katika shughuli zake za kila siku kiasi cha kushindwa kulipa watumishi, Umeme na Ankara za maji katika ofisi ya makao makuu.

- Mtazamo wa Wanachama:
Kauli ya kujitegemea kifedha imechukuliwa kwa taharuki kubwa na wanachama mbalimbali ikiwa baadhi wanahisi ni kama wamekabidhiwa mzigo wa lawama, huku wengi wakihoji kuhusu matumizi ya fedha za ruzuku na kutaka kujua ni miradi ipi fedha hizo zimetumika?

- Taharuki ya Uchaguzi:
Wajumbe wengi wa chama wanashuku uwezo wa CHADEMA kushindana katika uchaguzi wa serikali za mitaa ikiwa kwasasa hakuna fedha za kutosha, wanachama wanapendekeza kwamba ikiwa chama hakiko sawa kifedha, inaweza kuwa bora kujiondoa kwenye uchaguzi huo ili kuepuka aibu ya kushindwa kwa kishindo na CCM baadaye kuleta visingizio vya kuibiwa kura.

- Mzozo na Uongozi kati ya Mbowe na Lissu:

Kuna hisia ya kutokuwa na mshikamano kati ya viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho, hasa kati ya Mwenyekiti na Makamu wake, jambo ambalo linawaathiri umoja na nguvu za chama hicho kipindi hiki muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

-Maoni yetu wananzengo ni kuwa:
Chadema wameonyesha Wasiwasi na hatihati juu ya uwezo wa chama chao ikiwa kitashindwa kifedha kujigharamia watarajie kushindwa na CCM ambayo kimsingi haina sababu ya kupoteza mbele ya Chadema tayari ina rasilimali za kifedha za kutosha na yenye uzoefu zaidi.

Hali hii inaonyesha changamoto kubwa za ndani na nje kwa CHADEMA, wasiwasi mkubwa wa kushindwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ya maandalizi hafifu ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za ruzuku, kutokuwepo kwa umoja wa ndani ya chama hicho kitarajie matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani.
 
Propaganda 🚮🚮
 
Ni wazi chadema inaendeshwa kwa mkopo kwa muda mrefu sana,

hivi sasa hali ya ukata ni mbaya zaidi, na imepelekea waweke wazi Ukweli huo kwasababu madeni ni makubwa kupindukia na hayawezi kulipika kwa pamoja...

mbaya zaidi kwenye taarifa za fedha, haijulikani ipi ni michango ya wanachama, michango na hisani za wafadhili wala ipi ni mikopo.

Hata hivyo mkopeshaji mkuu wa chadema ni muandamizi wa chama kamati kuu ambae hata yeye kama analemewa hivi sasa hivi 🐒
 
Maelezo ya Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, kuhusu ukosefu wa
fedha za kujigharamia wenyewe kumeibua wasiwasi mkubwa kutokana na changamoto zinazo kikabili chama hicho cha siasa kwasasa.

Chadema inakabiliwa na ukata mkali hivyo kushindwa kujipanga kifedha kwa ajili ya shughuli zake za ndani, haswa zile zinazohusiana na uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na kuandaa mkutano mkuu wa chama taifa unaotarajiwa kufanyika hivi karibuni.

- Ukosefu wa Fedha:
Mbowe amesisitiza kwamba kanda zote zinatakiwa kuchanga Fedha kwa ajili ya makao makuu katika mkutano mkuu wa chama Taifa vilevile wanahitajika kujitegemea kifedha kwa ajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa na kuacha kutegemea fedha kutoka makao makuu.
naiona chadema ikishindwa vibaya sana na CCM kwenye chaguzi zinazokuja.

Hali hii inaonyesha changamoto za kifedha ndani ya chama, ikiwa ni pamoja na kutokuwa na uwezo wa kugharamia shughuli zake muhimu za kisiasa na kushindwa kujiendesha katika shughuli zake za kila siku kiasi cha kushindwa kulipa watumishi, Umeme na Ankara za maji katika ofisi ya makao makuu.

- Mtazamo wa Wanachama:
Kauli ya kujitegemea kifedha imechukuliwa kwa taharuki kubwa na wanachama mbalimbali ikiwa baadhi wanahisi ni kama wamekabidhiwa mzigo wa lawama, huku wengi wakihoji kuhusu matumizi ya fedha za ruzuku na kutaka kujua ni miradi ipi fedha hizo zimetumika?

- Taharuki ya Uchaguzi:
Wajumbe wengi wa chama wanashuku uwezo wa CHADEMA kushindana katika uchaguzi wa serikali za mitaa ikiwa kwasasa hakuna fedha za kutosha, wanachama wanapendekeza kwamba ikiwa chama hakiko sawa kifedha, inaweza kuwa bora kujiondoa kwenye uchaguzi huo ili kuepuka aibu ya kushindwa kwa kishindo na CCM baadaye kuleta visingizio vya kuibiwa kura.

- Mzozo na Uongozi kati ya Mbowe na Lissu:

Kuna hisia ya kutokuwa na mshikamano kati ya viongozi wa ngazi za juu wa chama hicho, hasa kati ya Mwenyekiti na Makamu wake, jambo ambalo linawaathiri umoja na nguvu za chama hicho kipindi hiki muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa pamoja na uchaguzi mkuu wa mwaka 2025.

-Maoni yetu wananzengo ni kuwa:
Chadema wameonyesha Wasiwasi na hatihati juu ya uwezo wa chama chao ikiwa kitashindwa kifedha kujigharamia watarajie kushindwa na CCM ambayo kimsingi haina sababu ya kupoteza mbele ya Chadema tayari ina rasilimali za kifedha za kutosha na yenye uzoefu zaidi.

Hali hii inaonyesha changamoto kubwa za ndani na nje kwa CHADEMA, wasiwasi mkubwa wa kushindwa uchaguzi wa serikali za mitaa kwa sababu ya maandalizi hafifu ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya ya rasilimali fedha za ruzuku, kutokuwepo kwa umoja wa ndani ya chama hicho kitarajie matokeo mabaya kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani.
Mimi nilikua najua wewe ni me
 
Back
Top Bottom