CHADEMA iache mara moja kuwadhalilisha watia nia, huu siyo uungwana

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA imekuwa na utamaduni na tabia ya kuwapanga na kuwasimamisha watia nia wake wa nafasi mbalimbali za uongozi utafikiri watoto wadogo wa shule ya msingi au sekondari.

Hivi kweli CHADEMA inashindwa kuchukua ukumbi wenye hadhi na viti vya kutosha watia nia wote mpaka ianze kuwadhalilisha kiasi hiki? Hivi huu ni uungwana kweli? Kwanini uwafanye watu wazima kama watoto? Kwanini uwatese watu wazima kama watuhumiwa wa wizi au watumwa?

Ndio nini hivi sasa? Inajenga picha gani? Kwanini ujenge Mkubwa? Kwanini msiwape heshima zao? Hawa si ni viongozi wa kesho tena wa nafasi za juu kabisa za chama? Mnaiga kutoka wapi?

Kwanini chama kifanye mambo kibabaishaji kiasi hiki? Embu acheni mara moja tabia na utamaduni huu ambao siyo wa kiungwana wala wenye kuleta picha nzuri.halafu bila aibu wala haya mnawapiga na picha utafikiri manamba.

Ona sasa wanavyotia huruma na kujikatia tamaa. sizani hata kama wamepata au kuweka chochote kile kwenye matumbo yao.
Screenshot_20250110-180056_1.jpg

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ona sasa wanavyotia huruma na kujikatia tamaa. sizani hata kama wamepata au kuweka chochote kile kwenye matumbo yao.View attachment 3197673

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe hayakuhusu akili yako inatosha tu kumsifia Hangaya kwa matumaini ya kuteuliwa.
 
Ndugu zangu Watanzania,

CHADEMA imekuwa na utamaduni na tabia ya kuwapanga na kuwasimamisha watia nia wake wa nafasi mbalimbali za uongozi utafikiri watoto wadogo wa shule ya msingi au sekondari.

Hivi kweli CHADEMA inashindwa kuchukua ukumbi wenye hadhi na viti vya kutosha watia nia wote mpaka ianze kuwadhalilisha kiasi hiki? Hivi huu ni uungwana kweli? Kwanini uwafanye watu wazima kama watoto? Kwanini uwatese watu wazima kama watuhumiwa wa wizi au watumwa?

Ndio nini hivi sasa? Inajenga picha gani? Kwanini ujenge Mkubwa? Kwanini msiwape heshima zao? Hawa si ni viongozi wa kesho tena wa nafasi za juu kabisa za chama? Mnaiga kutoka wapi?

Kwanini chama kifanye mambo kibabaishaji kiasi hiki? Embu acheni mara moja tabia na utamaduni huu ambao siyo wa kiungwana wala wenye kuleta picha nzuri.halafu bila aibu wala haya mnawapiga na picha utafikiri manamba.

Ona sasa wanavyotia huruma na kujikatia tamaa. sizani hata kama wamepata au kuweka chochote kile kwenye matumbo yao.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Huo ndio uhalisia, cdm hawaadhiliwi na wauza unga, hivyo huwezi kuwafananisha na ccm chama kinachofadhiliwa na wauza unga.
 
Back
Top Bottom