huyo mnyang"anyi wa malori,
kwanza hatapata kura za wajumbe wa mkutano mkuu kutoka kanda yake ya kaskazini, kwasababu amevundunda na kuwavuruga sana watu wa kaskazini kwa uongozi mbovu sana.
kiufupi huyo mnyang"anyi wa malori hana recordi nzuri ya uongozi ndani ya chadema na hata alivyokua mbunge.
kwahiyo,
mnyang'anyi hastahili tena kuwepo meza kuu ya chama kutokana na hulka ya uropokaji na mdomo sambabamba na kibaraka wa mabwenyenye ya magharibi.
hakuna mahali hawa wangwana wanaweza kuongoza taasisi na ikaendelea, itavunjika au kukimbiwa na watu hawa jamaa wakiwa viongozi. hekima na busara vimewapita pembeni kabisa hawa jamaa