Sawa nakubliana na wewe hayo yote ni madudu ya hii serikali awamu ya 5.Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Ndo kusema matatizo ya CCM ni kuhalalisha matatizo kwa Chadema, basi tuna safari ndefu kwa vyama vyetu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Za kuambiwa changanya na zako, Wabunge wa chadema wako wangapi hadi kwa hizo asilimia wanazokatwa zifikie Bilioni 8?Bilion 8 zimeisha? Hatabaki mtu huko usanii wa wa hivi ukiendelea
Ushahidi ni michango ya Wabunge wake kwa miaka 5 haijulikani ilipo wala hakuna fixed account iliyofunguliwa!Nani amekuambia Chadema sio Smart? Kwa ushahidi upi? Wa nani nakwanini ?
Oyaaa! Wanyuke la utosini.Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Kwo unataka kusema CAG anadanganya umma anaposema ameikagua chademaHv mwenyekiti akiwa anafanya conference kwa nn waandishi wa habari huwa hawamuulizi hilo swali kuhusu matumizi ya ruzuku?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ushahidi ni michango ya Wabunge wake kwa miaka 5 haijulikani ilipo wala hakuna fixed account iliyofunguliwa!
Hizo tulishahoji hapa na ccm hawakujibu.Labda tuanze na 1.5 trillion ziko wapi?
In God we Trust
Je hiyo inahalalisha tusijue zilipo bilion 8?Sasa ahamie ccm ambako mpaka leo
Deep green
Kagoda
Epa
Escrow
1.5t
Gas
Makinikia
Nk vimetumika vizuri zaidi
Nchambi na meno ya tembo yupo nje
Mdogo wake rostam na meno ya tembo yupo nje
Nani amekuambia Chadema sio Smart? Kwa ushahidi upi? Wa nani nakwanini ?
Hizo tulishahoji hapa na ccm hawakujibu.
Tukasema ok, ngoja tutawapa madaraka chama mbadala ambacho ni chadema, kumbe nao wametafuna bilion 8,!
Haya mtujibu bilion 8 ziko wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Bwashe sasa kumbe hakuna tofauti kati ya chadema na ccm?Wewe unanafasi kuhoji
1. Kwanini mbunge ccm nchambi yuko nje kwa dhamana? Akiwa na kesi ya uhujumu uchumi
2. Unaweza pia kuhoji mmiliki wa majengo meupe magogoni na chamwino kajificha wapi?
3. Bajeti ya madege ilipangwa na kujadiliwa bunge langapi?
Unadhani kila anayehoji ana chuki na CHADEMA?
Unaruka tu kujibu point ya msingi,ni hivi chama kisikae kimya kiwe kinajibu tuhuma on time vinginevyo mnawapa tabu mno mashabiki na watetezi wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nahisi unakitu fulani nami pia nilikuwa nahoji ili kujua ukweli wa alichohoji Lijualikali. Naomba tusaidiane sisi tunaopenda kujua ukweli bila kuegemea upande wowote, inawezekana wengine walikuwa na nia ya kujiunga na chadema wakakatishwa tamaa kama hakuna majibu ya kutosha.Tokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.
Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi wa Chadema Bali anahoji matumizi ya michango ya pesa wanayochangishwa nanukuu " Tuliambiwa fedha zetu zitawekwa kwenye fixed account kwa ajili ya uchaguzi huu lakini tukahoji mbona mpaka sasa mjaweka wakasema zimeisha tukawauliza hamjengi ofisi za chama, hakuna shughuli yoyote ya siasa inayoendelea hizo hela zimeishaje wakatujibu hatutakiwi kuhoji chama"
Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa
#Tanzaniabilaushabikiwavyamainawezekana