Mzee Wa Republican
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 1,671
- 853
Sure mkuu,Watamwita msaliti
Hawataki Kabisa kuangalia mapungufu ya chama
Haiwezekani wabunge zaidi ya 20 wakukimbie uwaite Wasaliti lazima kuna tatizo
Naona umerukia kwingine tena. Mf Bungeni, wabunge wanapohoji matumizi ya fedha za walipa kodi, huwa wanasubiri reports za CAG?
Kwenye vikao vya chama, wabunge/wanachama kuhoji matumizi ya fedha zao mbali na ruzuku ya chama ni kosa kiasi wasubiri report ya CAG? Jaribu kufikiria kidogo hapa.
Nakumbuka report ya CAG 2017/2018 kwa Chadema ilionyesha upotevu wa fedha, karibu billions kadhaa (sina kumbukumbu vizuri). Unataka kunambia baada ya hiyo report, wao kama wabunge na wanachama wa Chadema hawakupaswa kuhoji huo upotevu wa pesa?.
Hitimisho langu:
Chadema kama chama kama kinashindwa kujiwajibisha chenyewe sababu ya udikiteta uliokithiri, basi watulie tu kuliko kutumia nguvu kubwa kumuona Lijuakali na wabunge wengine wa Chadema kuwa ni wabaya nk kwa kuonyesha madhaifu ya chama chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna maswali ambayo kiuhalisia CHADEMA wanatakiwa kuyajibu na sio kukimbia kimbia. Hili suala la Lijualikali CHADEMA watoke hadharani walijibu na sio kujificha kwenye kichaka cha wasaliti
Huku ndo ziliko Bilioni 8 zetu?
Hana reference . ? Yaani aliyekuwa akikatwa mshahara kwa ajili ya hitaji husika hana reference . ?Tangu lini umbeya ukajibiwa?
Yaani unamjibu mzushi asie na reference yoyote? Utakuwa mwehu.
Yeye si mwanachama anahoji vipi? Na kama kulikuwa na makubaliano kwa maandishi atazipata hata kwa mahakamani ukiwa mroho usiwe mchoyo ukishatoka chama huwezi dai mchango uliochangoa chamaTokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.
Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi wa Chadema Bali anahoji matumizi ya michango ya pesa wanayochangishwa nanukuu " Tuliambiwa fedha zetu zitawekwa kwenye fixed account kwa ajili ya uchaguzi huu lakini tukahoji mbona mpaka sasa mjaweka wakasema zimeisha tukawauliza hamjengi ofisi za chama, hakuna shughuli yoyote ya siasa inayoendelea hizo hela zimeishaje wakatujibu hatutakiwi kuhoji chama"
Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa
#Tanzaniabilaushabikiwavyamainawezekana
Chadema haiwezi kulazimishwa kujibu hoja lijua kwa shinikizo lako wewe maana CCM ya Chadema watamaliza wenyewe nilitegemea ulete hoja ya mwenzenu kukutwa na silaha kule ShinyangaTokea Lijuakali atoe hoja yake juu ya chama chake Cha Chadema baadhi ya wafuasi wa Chadema wametokea kupotosha hoja ya msingi ya Bwana Lijualikali sijajua ni kwasababu ya uchama wao au kukwepa kwa makusudi hoja ya Lijuakali.
Lijuakali ajalalamika kuhusu kuchangishwa pesa Kama wanavyodai wapenzi wa Chadema Bali anahoji matumizi ya michango ya pesa wanayochangishwa nanukuu " Tuliambiwa fedha zetu zitawekwa kwenye fixed account kwa ajili ya uchaguzi huu lakini tukahoji mbona mpaka sasa mjaweka wakasema zimeisha tukawauliza hamjengi ofisi za chama, hakuna shughuli yoyote ya siasa inayoendelea hizo hela zimeishaje wakatujibu hatutakiwi kuhoji chama"
Kwa sisi ambao hatuna itikadi ya hivi vyama au kuwa wapenzi wa vyama hivi Tanzania tungependa Chadema wajibu hoja ya msingi ya Peter Lijualikali kuliko kukwepa
#Tanzaniabilaushabikiwavyamainawezekana
Hana reference . ? Yaani aliyekuwa akikatwa mshahara kwa ajili ya hitaji husika hana reference . ?
Jamani tuacheni shabiki. Vitu vingine viko wazi kabisa
Mkuu nina mashaka kama unaijua system of justice.Hebu tuwekee japo page moja ya ushaidi na uwe umethibitishwa na chombo chochote cha kisheria hapa Tanzania.
Una hangaika Kama kuku anaetaka kutaga iko wapi bilioni 8?
Una hangaika Kama kuku anaetaka kutaga iko wapi bilioni 8?
Umenikumbusha kituCdm haiwez kulazimishwa kujibu hoja lijua kwa shinikizo lako ww maana ccm ya cdm watamaliza wenyewe nilitegemea ulete hoja ya mwenzenu kukutwa na silaha kule shinyanga