johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kujifunza ndio maisha bwashee!We Punguza Ndumu zinakupoteza
Sawa usijekuwa MbogaKujifunza ndio maisha bwashee!
Mnyika angejifanya mzanzibari!Haha Mzee wa gia angepeleka kimada wake au jamaa wagawane mshahara😀
Unakumbuka alivyokua anapora zile 1M na 500k za wabunge akiwapiga fiksi za kampeni? Now kachil Dubai nilimwona anapiga mbizi . hilda nae nilimwona Airport🚶🏿🚶🏿🚶🏿 sijui alikwenda kumsalimia...😆
Chadema ilikwisha maliza siku nyingi suala la wale Wahuni 19 endeleeni kuwapa Kodi za Masikini wanyongeFikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.
Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.
Maendeleo hayana vyama!
Hayo mataputapu yako yamepunguza sana uwezo wako wa kufikiri unaandika ujinga mwingi sana siku hizi.Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.
Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.
Maendeleo hayana vyama!
Kwa sababu nimeitaja Ufipa?Hayo mataputapu yako yamepunguza sana uwezo wako wa kufikiri unaandika ujinga mwingi sana siku hizi.
Pale chama cha ACT kipo kama chapa tu, ile ni PURE x-CUF mzee - hawa wana wafuasi zaidi na nusu ya Wazanzibar wote. hata wakiingia chama cha Demokrasia makini ama NLD ni lazima wataunda Serikali kule.Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.
Tumeona namna walivyoshindwa kutoa ushirikiano wa kukipata " kikundi" cha wabunge 19 wa viti maalumu na tukasikia tu watu wanaapishwa haraka haraka.
Ni vema Chadema wakawatembelea wenzao wa ACT wazalendo wapate darasa namna ya kufaulu mitihani ya namna hii.
Maendeleo hayana vyama!
Mkuu,chadema maji marefu ,utapanuka moyo bure ,kaa na ccm YAKO ya chadema hachana nayoFikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki.