kandamatope
JF-Expert Member
- May 19, 2018
- 589
- 630
Demokrasia tuKila chama kina mapungufu
Hao wanawake wawadanganye wajinga wenzao
Ni tamaa zao wasilete visingizio
Ni wachumia tumbo Wabinafsi wanachowaza ni PESA period
Mwenye nia njema na nchi yupo Chadema na ACT wengine ni maslahi zaidi point blank period!
Wasitukoroge kama walivyojikoroga nyuso bana!
Tanzania hakuna upinzaniUjumbe wangu ni mfupi tu kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Jitafakarini upya kuhusu mwenendo wa chama, mifumo ya uongozi, sera za Chama, namna mnavyoshughulika na masuala ya ndani ya chama, masilahi ya mtu mmoja mmoja chamani, umoja wa chama n.k. Haya mambo yaangaliwe kwa jicho la tatu.
Ni dhahiri sasa kuwa hawa wabunge,madiwani na wanachama wenu wanao hama chama kila siku si kwa sababu wananunulia kama mnavyoamini/kuaminisha watu, kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
Katika hili wala msitafute mchawi, ni ninyi wenyewe ndio sababu na msipo badilika mtaendelea kupoteza watu wengine makini chamani.
Hivi karibuni mmekuwa mkifanya maamuzi ya kushangaza sana kwenye mambo ya msingi mfano.
Kumchagua Lissu kuwa makamo mweyekiti wakati mtu hayupo hata nchini na anadai hatorudi nchini kuhofia usalama wake.
Alafu yeye ndio makamo mwenyekiti, katika hili mmekosea sana. Sijui kama wote mlikubaliana hili sina hakika.
Uamuzi wa kuondoka bungeni kisa Covid-19, huu uamuzi kwa asilimia mia moja mlikurupuka haukuwa uamuzi sahihi na sina hakika pia kama ulikubaliwa na wengi ndani ya chama.
Tuhuma za ubadhilifu na ufisadi ndani ya chama, hili nalo ni tatizo kubwa sana hili ambalo linaendelea kuota mizizi ndani ya chama mfano mweyekiti anatuhumiwa kwa matumizi mabaya na upotevu wa bil 8.
Malalamiko ya wabunge kukatwa mishara yao kwa kiwango kikubwa, hili pia linawaumiza wengi ndani ya chama.
Kujiingiza kwenye kesi zisizokuwa za lazima na kutia hasara chama, mfano kufanya fujo gerezani kule segerea.
Kauli zisizokuwa na mipangilio mfano kauli ya mch Msigwa kusema kuwa alimsingizia kinana ujangili, anaomba radhi inamaana kuna mengi pia waliwasingizia viongozi wa serikali? Ester Bulaya kuwatumikia mabeberu n.k
Kuja na majina ya uteuzi mifukoni, ubabe wa mwenyekiti n.k
Kutokuwepo kwa Uhuru wa maoni ndani ya chama, mwenyekiti kudaiwa kuwaburuza tu wajumbe kwenye maamuzi.
Matamko wanayo yatoa hasa kwenye kipindi hiki cha Janga la Covid-19.
Hayo yote yanaweza kuwa sababu ya mpasuko wa chama kwa wale wenye nia ya mabadiliko ya kweli wanaweza kukihama chama na wala si kununuliwa kama inavodaiwa sasa.
Niwakati sasa wakukaa pamoja muyaangalie madhaifu yenu muone wapi mnakosea ili msizidi kupoteza Imani kwa watanzania.
Na hili ndio kosa kubwa wanalo lifanya sasa, badala ya kujitathimini wapi wamekosea wao kazi ya kulalamikia na kutupa lawama kwa ccm.CHADEMA inaongozwa na malaika ile so chama kiko perfect hakijawahi kukosea chochote bali serikali ya CCM na hao wanaohama ndo tatizo.😁!
"Ukipata mtu wa kumrushia lawama juu ya matatizo yako wala hutojihangaisha hata kufikiri nje ya hapo"
Wewe usitake kushindana na kubishania yanayo endelea huko ccm, wewe unatakiwa kuchukua hatua juu ya chama chako ili kiwe imara we waache wanyweshane sumu huko huku wewe unaimalisha chama chako hilo ndio la kufanya mkuu.Vipi kila chama ambacho wanapeana sumu kutaka kumua kiongozi wao?
Sawa mr akili kubwa.Ww akili yko ni ndgo sana Kama kweli unaamn chadema kuna shida pawepo na tume huru ya uchguzi afu huyu alyshka inchi kwa miaka mitano ya njaaa kwa watumishi uone kma atttoboa Jana naona Rc singida anawatshia watumishi kshabkia upinzan ujinga mtupu iyo n siasa brother cdm ikftika hiii inchi ttapitia wkt mgum ktkua hkuna wa kmnyooshea kidole jiwe probably atabadili katiba atawale milele am expect kwnn antumia nguvu kuufuta upinzan kias hiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kuwa mkweli kwa kutosema ukweli. Kila mtu anajua matatizo wanayopata upinzani awamu hii ya kidikteta, tena nashangaa sana kwa bado chama kama CDM bado kina ushawishi manake nguvu inayotumika tungejenga mtandao wa SGR nchi nzima.Ujumbe wangu ni mfupi tu kwa viongozi wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA.
Jitafakarini upya kuhusu mwenendo wa chama, mifumo ya uongozi, sera za Chama, namna mnavyoshughulika na masuala ya ndani ya chama, masilahi ya mtu mmoja mmoja chamani, umoja wa chama n.k. Haya mambo yaangaliwe kwa jicho la tatu.
Ni dhahiri sasa kuwa hawa wabunge,madiwani na wanachama wenu wanao hama chama kila siku si kwa sababu wananunulia kama mnavyoamini/kuaminisha watu, kutakuwa na tatizo la kiuongozi.
Katika hili wala msitafute mchawi, ni ninyi wenyewe ndio sababu na msipo badilika mtaendelea kupoteza watu wengine makini chamani.
Hivi karibuni mmekuwa mkifanya maamuzi ya kushangaza sana kwenye mambo ya msingi mfano.
Kumchagua Lissu kuwa makamo mweyekiti wakati mtu hayupo hata nchini na anadai hatorudi nchini kuhofia usalama wake.
Alafu yeye ndio makamo mwenyekiti, katika hili mmekosea sana. Sijui kama wote mlikubaliana hili sina hakika.
Uamuzi wa kuondoka bungeni kisa Covid-19, huu uamuzi kwa asilimia mia moja mlikurupuka haukuwa uamuzi sahihi na sina hakika pia kama ulikubaliwa na wengi ndani ya chama.
Tuhuma za ubadhilifu na ufisadi ndani ya chama, hili nalo ni tatizo kubwa sana hili ambalo linaendelea kuota mizizi ndani ya chama mfano mweyekiti anatuhumiwa kwa matumizi mabaya na upotevu wa bil 8.
Malalamiko ya wabunge kukatwa mishara yao kwa kiwango kikubwa, hili pia linawaumiza wengi ndani ya chama.
Kujiingiza kwenye kesi zisizokuwa za lazima na kutia hasara chama, mfano kufanya fujo gerezani kule segerea.
Kauli zisizokuwa na mipangilio mfano kauli ya mch Msigwa kusema kuwa alimsingizia kinana ujangili, anaomba radhi inamaana kuna mengi pia waliwasingizia viongozi wa serikali? Ester Bulaya kuwatumikia mabeberu n.k
Kuja na majina ya uteuzi mifukoni, ubabe wa mwenyekiti n.k
Kutokuwepo kwa Uhuru wa maoni ndani ya chama, mwenyekiti kudaiwa kuwaburuza tu wajumbe kwenye maamuzi.
Matamko wanayo yatoa hasa kwenye kipindi hiki cha Janga la Covid-19.
Hayo yote yanaweza kuwa sababu ya mpasuko wa chama kwa wale wenye nia ya mabadiliko ya kweli wanaweza kukihama chama na wala si kununuliwa kama inavodaiwa sasa.
Niwakati sasa wakukaa pamoja muyaangalie madhaifu yenu muone wapi mnakosea ili msizidi kupoteza Imani kwa watanzania.
Haya malalamiko yanakosa mashiko mkuu kwani ni ccm ndio walio kuja kuwawekea vugu vugu huko chamani si ni wenyewe kwa wenyewe ndio wanaumbuana huko.Huwezi kuwa mkweli kwa kutosema ukweli. Kila mtu anajua matatizo wanayopata upinzani awamu hii ya kidikteta, tena nashangaa sana kwa bado chama kama CDM bado kina ushawishi manake nguvu inayotumika tungejenga mtandao wa SGR nchi nzima.
Wewe huoni ccm inavyowanunua wabunge na madiwani wa CDM nitaje wangapi ambao wamenunuliwa na kupewa uwaziri au ukuu wa mkoa kutoka CDM, ACT, CUF na wengine. Unategemea vyama vya upinzani visimame kwenye hali ya uvunjifu wa demokrasia kama hiyo? Kwa hali hiyo ccm itabaki mda mrefu madarakani na kufanya wanavyotaka, wanafaidi wachache, wengine ni kilio.Haya malalamiko yanakosa mashiko mkuu kwani ni ccm ndio walio kuja kuwawekea vugu vugu huko chamani si ni wenyewe kwa wenyewe ndio wanaumbuana huko.