Chadema ikifutwa nashauri tuandamane nchi nzima

Yanayoendelea ni dhahiri kua Samia hataki Democracy anachotaka ni kuendesha nchi kama familia analotaka liwe !! Hatuezi kwenda hivi
Jiukize JPM pamoja na umwamba wake wote kwa nini alishidwa kuifuta? Huyu wa Zenji ndiyo aifute?, sawa aifute tu afu aone kama ataitawala kwa raha Tanganyika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…