KakaKiiza
JF-Expert Member
- Feb 16, 2010
- 11,794
- 9,075
Kutokana na ubadhirifu unaofanywa na watumishi wa serikari kuu na muundo mbovu wa utumishi wa umma usiokuwa na wajibu wakumuwajibisha mtumishi anaye fanya ufisadi ndani ya wizara na taaasisi za serikali.
Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitatoa kipa umbele kwakuhamisha serikali ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dodoma kama ilivyo kwenye ramani ya dunia kuwa Makao makuu ya serikali ni Dodoma na kwenye makaratasi!
Hii itatoa nafasi nzuri kwa kutengeneza serikali yenye watumishi wachache lakini wenye tija tofauti na sasa watumishi ni wengi na wengi hawanakazi ya kufanya kila siku wapo katika miradi yao binafsi na hakuna njia ya kuwabana kwakuwa hawana shughuli ya kufanya!
Mifano ni mingi tukianza na mfumo uliopo kwenye Wizara ya Fedha hakuna udhibiti wa moja kwamoja kwakuwa vitengo nivingi na haviko kimpangilio!!
Wizara ya Kilimo ndo kabisa!
Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa nakwenyewe usiseme ulisikia walikuwa wamepiga pesa ndefu hii nikwakuwa walishtukiwa lakini line kama hizi zilishafanyika siku nyingi!
Wizara ni nyingi zinahitaji marekebisho!