Elections 2010 Chadema iko mwake hasa

Kanyafu Nkanwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2010
Posts
850
Reaction score
103
Wednesday Sept 01, 2010

A CCM member, Mr Ipyana Seme, displays CHADEMA membership cards surrendered by people who defected to the ruling party , during a campaign rally at Mbalizi in Mbeya Region on Sunday. Left is CCM Union Presidential candidate Mr Jakaya Kikwete. (Photo by John Lukuwi)
 
Zile mkononi ndo kadi 400 tulizoambiwa?
 

Haina mvuto. NImejuta kufungua, nilidhani mambo yanayohusiana na CHADEMA kumbe ni ufisadi tu unaoendelea hapa. Kula ccm kura CHADEMA, mwaka huu mpaka kieleweke.
 
Taahira pekee ndo anaweza leo kuwa CCM akahamia Chedema, na kesho akahama Chadema akarudi CCM. Hao watu wana mapepo!! Peleka mirembe. Watu makini tumetulia. Tutakutana kwenye masanduku Oktoba 2010.
 
I sense something fishy.

Hizo kadi mbona zote mpya zimejipanga kama karata zilizotoka kwenye kasha? Kama kweli hizo ni kadi za wanachama waliokuwa CHADEMA, kwa kawaida ungetegemea kuona zikiwa katika hali tofauti tofauti za uchakavu.
 

Wazee wakuchakachua utawajua tu! nina wasiwasi na hizo kadi kama hazi kuchakachuliwa sijui :whistle::whistle:
 
Mie nilitarajia nione picha ya hao watu mianne, niwahesabu mmojammoja, ndipo niridhike. Kweli rahisi wetu anadanganyika sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…