Chadema Ili ipone inahitaji Mapinduzi makubwa, Zitto na Prof Kitila Walikuwa Sahihi hata Nyerere alipindua TAA kupata TANU iliyoleta Uhuru!

Chadema Ili ipone inahitaji Mapinduzi makubwa, Zitto na Prof Kitila Walikuwa Sahihi hata Nyerere alipindua TAA kupata TANU iliyoleta Uhuru!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Watu wenye Fikra za kuleta Mapinduzi Chadema Wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri

Chadema Ili ipone ni lazima iwaondoe makaburu wachache waliobamia na hasa Mbowe, Sugu na Halima Mdee

Wenje ni Fisi wa Mchongo hana madhara ni Njaa tu inamsumbua

Jumaa Mubarak 😂
 
Jo kwa siku huwa unaanzisha nyuzi ngapi?
 
Watu wenye Fikra za kuleta Mapinduzi Chadema Wana uwezo mkubwa sana wa kufikiri

Chadema Ili ipone ni lazima iwaondoe makaburu wachache waliobamia na hasa Mbowe, Sugu na Halima Mdee

Wenje ni Fisi wa Mchongo hana madhara ni Njaa tu inamsumbua

Jumaa Mubarak 😂
MBOWE ni Mujuni sana aisee, huwezi ukawa mnywaji wa Konyagi na usiwe muhuni
 
Nyerere hakupindua TAA. Walioleta mabadiliko TAA ni wakina Sykes, Mwapachu, Dr. Kyaruzi na wengine walipowaondoa katika uongozi wazee wao Thomas Plantan na Clement Mtamila mwaka 1949. Hawa waliongoza TAA ( Dr. Kyaruzi halafu Abdulwahid Sykes) mpaka 1953 ambapo Nyerere alichaguliwa kuwa Rais wake. Nyerere na wenzake walibadilisha jina la TAA kuwa TANU mwaka 1954. Unataka kutuambia Nyerere alijipindua mwenyewe kama Rais wa TAA?

Amandla...
 
Back
Top Bottom