Chadema imedhihirisha kuwa haiwezekani kuwaamini wapinzani

Chadema imedhihirisha kuwa haiwezekani kuwaamini wapinzani

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.

Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni.
wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu.

Je tuwaendekeze wapinzani au tusimamie malengo ya Uhuru?

Mama Samia songa mbele ...wazalendo Songeni mbele na tusubabaishwe na wahuni au vibaraka wa ubeberu.

Soma Pia: Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa
 
Back
Top Bottom