Hata iweje wapinzani wanabaki kuwa wapinzani tu.hawana zuri bali ni watumia fursa tu.Ni mafisi wanaosubiri mfupa.
Hawana sera na hawataki kujielekeza kwenye hoja ya kuikwamua nchi kutoka kwenye makucha ya kikoloni.
wapinzani ni zao la ukoloni. Hata wapewe nini watabaki hivyo tu.
Je tuwaendekeze wapinzani au tusimamie malengo ya Uhuru?