Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM kugawanyika na kushambuliana wao kwa wao na kisha kushindwa kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa hadi kufikia hali hiii ya mgao. imekaaje hii?
Hili sio kweli. Haya mambo ya mgawo wa umeme yamekuwapo miaka nenda rudi. Vyanzo vya nishati ya umeme tunavyo vingi sana. Kwa mfano: tukiamua kujenga kituo cha kuzalisha umeme pale Stiegler gorge nasikia tutapata zaidi ya 3,000 MW. Sasa hivi mahitaji ya Tanzania hayazidi 800 MW. Nionavyo huu uvivu ndani ya viongozi serikalini kufanya maamuzi yenye faida kwa ajili ya nchi yetu.
Hili sio kweli. Haya mambo ya mgawo wa umeme yamekuwapo miaka nenda rudi. Vyanzo vya nishati ya umeme tunavyo vingi sana. Kwa mfano: tukiamua kujenga kituo cha kuzalisha umeme pale Stiegler gorge nasikia tutapata zaidi ya 3,000 MW. Sasa hivi mahitaji ya Tanzania hayazidi 800 MW. Nionavyo huu uvivu ndani ya viongozi serikalini kufanya maamuzi yenye faida kwa ajili ya nchi yetu.
Mawazo ya kichadema yanachekesha sana!
Siyo uvivu mzee, kama ingekuwa uvivu basi mahela yote yangekuwa bado yapo kule hazina, BOT etc... NI WIZI MZEE. nNa ndiyo maana kazi hazijafanyika na hela zimeibiwa....Hili sio kweli. Haya mambo ya mgawo wa umeme yamekuwapo miaka nenda rudi. Vyanzo vya nishati ya umeme tunavyo vingi sana. Kwa mfano: tukiamua kujenga kituo cha kuzalisha umeme pale Stiegler gorge nasikia tutapata zaidi ya 3,000 MW. Sasa hivi mahitaji ya Tanzania hayazidi 800 MW. Nionavyo huu uvivu ndani ya viongozi serikalini kufanya maamuzi yenye faida kwa ajili ya nchi yetu.
Mawazo ya kichadema yanachekesha sana!
endeleeni kucheka tu, mtawakuta ikulu siku si nyingi.
Kigogo:teh teh ..hao si CHADEMA wenye chama tumetulia tu
Mkuu inaonyesha hujamwelewa mtoa mada, amesema hamuoni kama chadema imeichanganya ccm mpaka kufikia kushindwa kukaa pamoja na kutoa maamuzi ambayo yangeiepusha nchi katika giza? tunajua kuwa uwezekano wa kuwa na umeme hata wa kuuza nje tunao sana tu, lakini huoni kama wanashindwa kufanya maamuzi kutokana na kuchanganywa na chadema?
Hujaeleweka? je hayo ndiyo malengo ya mwaka huu ya Chadema?..Wadau kuna hoja kwamba nchi kuingia kwenye mgao ni sehemu ya ushindi wa CHADEMA dhidi ya CCM ambao wamefanikiwa kuisambaratisha CCM na kuifanya kipoteze muelekeo kiasi cha kusababisha CCM kugawanyika na kushambuliana wao kwa wao na kisha kushindwa kufanya maamuzi yenye maslahi kwa taifa hadi kufikia hali hiii ya mgao. imekaaje hii?