CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

Kama mtu anafikia hatua kuita chadema ni chama cha Mungu na ccm ni chama cha shetani, mpaka utaona utaona jinsi tatizo lilivyo kubwa.

Umeeleza ya kweli kabisa, kuna wengine wao wanaona anayefaa kukosolewa ni chama tawala tu na huwezi kukosoa chama pinzani kwa sababu hakijashika dola na wengine ni kama hawaamini kama chadema hufanya makosa.
 
Huu Sasa ni uongo wa wazi kabisa kwamba chadema inakosoa penye kasoro na kusifia panapostahili? Hii si kweli chadema wanapinga na kuponda kila kitu
 
Maana wafuasi wa Chadema mnaongoza kumtukana Magufuli huku mkijua hawezi kujibu kwasasa
[emoji15][emoji3064][emoji848][emoji848][emoji2827] Nadhani hizi ni tuhuma mpya zisizo na ithibati
Hivi yeyote anayemtukana Magufuli ni mfuasi wa Chadema?.
Kuna wafuasi wa vyama tofauti tofauti humu,hivi unawatofautishaje?.
Kwa sababu hata wafuasi wa CCM sio wote walifurahishwa na Magufuli,kama ambavyo wapo wanaomnanga Samia.
 
Kuna kauli watu wanaziongea bila kupima uzito wake, kumuhusisha Mungu na hivi vyama vya upinzani sijui huyo mtu anafikiria nini au anamchukulia vp huyo Mungu? Ubaya humu kuna watu hawaamini Mungu hivyo pengine ndio maana inakuwa rahisi kwao kutoa kauli kama hizo.
 
Huu Sasa ni uongo wa wazi kabisa kwamba chadema inakosoa penye kasoro na kusifia panapostahili? Hii si kweli chadema wanapinga na kuponda kila kitu
Chadema akiponda kila kitu ndio wanasema ni kwa sababu ni wapinzani ila wewe ukiponda kila kitu chadema unaonekana una tatizo binafsi na cdm haubalance.

Kiongozi wa dini akiponda ccm na serikali muda wote anaonekana ni kiongozi wa kweli na mchamungu haswa ila akisifia serikali hata mara moja huonekana ni mchumia tumbo.
 
Kwanza jifunze Adabu , kwamba kwako jf ni sehemu ya kupotezea muda baada ya kugombana na mumeo hayo ni matusi , kuweni na heshima na jukwaa hili nyie vijana .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…