CHADEMA imemkosea nini huyu mwandishi?

Teuzi baba teuzi, hakuna teuzi CCM kama unajivuga vunga kumtukana mzee Mbowe, lazima umtukane sana Mhe, Mbowe. ndio ufikiriwe kwenye TEUZI. MaCCM ni watu wa hovyo mno.
 
Tuheshimu taaluma yake
 
Chadema usiwakosoe ukithubutu kuvuka hui mpka utaambulia personal attacks mana hawana Dola wakiipata sijui itakuaje kwa wakosoaji wao?
 
Great sinker theorem ... Hivi hap wanaokosoa CHADEMA kutwa kucha huwaoni?
Lakini ni nini wanachoambulia zaidi ya matusi na kejeli? HOJA INAJIBIWA KWA HOJA ... chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo lakini hiyo Demokrasia hawawezi kuiishi, ukiritimba na mbinu chafu zimetamalaki kuanzia ngazi ya juu hadi chini.
 
Lakini ni nini wanachoambulia zaidi ya matusi na kejeli? HOJA INAJIBIWA KWA HOJA ... chadema ni chama cha demokrasia na maendeleo lakini hiyo Demokrasia hawawezi kuiishi, ukiritimba na mbinu chafu zimetamalaki kuanzia ngazi ya juu hadi chini.
Thibitisha kuwa CHADEMA haiishi DEMOKRASIA...

Ndugu, CHADEMA ni chama ambacho wala hakina dola incomparably na CCM...

Lakini, "HOPEFULLY" ndicho chama ambacho kina wanachama na wafuasi wengi zaidi kwa sasa kuliko CCM + vyama vingine..!

Tena wanachama na wafuasi wanakiunga mkono chama hiki kwa hiari bila kujali vitisho vya watawala chini ya wapinzani wa CCM wanaokiwinda usiku na mchana chama hiki [CHADEMA] ili kukitoa katika ramani. Bahati nzuri sana ni kuwa, wameshashindwa...!!

Aidha, wanachama na wafuasi wa chama hiki wanaokuja na kujiunga, hufanya vile kwa hiari bila kupewa chochote ama ahadi ya chochote ya manufaa ya kimwili kwao mf. vyeo, fedha, mavazi nk..!

Katika scenario Hii, unatoa wapi ujasiri kusema chama hiki hakina demokrasia? Demokrasia ni nini kwani?

Honestly, CHADEMA bado na kitaendelea kuwa SAUTI YA WENGI...!
 
U guys pay me.

Nitakua nacounter hoja zake na siyo kumlalamikia kwanini anapiga nyundo kila kukicha.

Wakati nasoma module ya Introduction to Politics tuliambiwa Siasa inaweza elezewa kwa namna mbalimbali. Ila pia siasa ni jinsi na wakati gani mtu atapata mamlaka.

So deep down siasa haiangalii kama mamlaka umepata kwa boksi la kura au kwa mtutu kikubwa umeshika mamlaka siasa inaona upo sawa.

Mfano kuna jamaa tangu juzi anatishia kumchafua pasco na anampa ultimatum ya kutoisema chadema la sivyo atatoa siri.

Na pasco anaendeleza nyundo.

Nilipeni.
 
Hapa na, unakosea...!

Mwendazake JOHN P. MAGUFULI hakuanza na kuishia njiani...

Bali alianza, akafanya kidogo, kisha akashindwa na mwisho AKAFA YEYE...!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…