Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Kwa kutumia mifano na bila mihemko,
Elezea kauli hiyo kwa kifupi huku ukibainisha kinaga ubaga, sabababu chache za msingi za chama hicho kupoteza nguvu, mvuto, umaarufu, ushawishi na kuaminika kwa wanachama wake na wananchi kwa ujumla?
Soma Pia:

- CHADEMA hii ni fursa nyingine ya Chama kuimarika zaidi.
- Mpasuko wa CHADEMA tatizo ni Asali, Ukabila na Uenyekiti Taifa