Uchaguzi 2020 CHADEMA imeshanyakuwa miji mikuu yote katika kila mkoa, hauhitaji darubini kuuona ukweli

Uchaguzi 2020 CHADEMA imeshanyakuwa miji mikuu yote katika kila mkoa, hauhitaji darubini kuuona ukweli

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Kila alipopita Mgombea wa Urais wa CCM akipita wa CHADEMA mahudhurio wananchi waliofikia umri wa kupiga kura inakuwa ni mara mbili,Ni ukweli usio pingika ambao utadhihirishwa kwa usahihi zaidi siku na baada ya upigaji kura na kura kuhesabiwa.

Unajua Mheshimiwa Magufuli chama chake kinawavutia watu na yale mashangingi waimbaji sio sera za wala ndege wala barabara au menginetele,huku kwengine watu wanaenda kusikiliza sera na mustakbali wa maisha yao ya baadae

Mipangilio inayoelezwa inawapa faraja wengi wanao hudhuria muda hutumika vizuri kwa viongozi mbalimbali kumwaga sera kwa kina tofauti na CCM mbao muda mwingi huwachezesha bolingo waliohudhuria.
 
Back
Top Bottom