Kwanza kabisa usaliti ni nini?Katika hiyo taarifa ukiisoma hapo unaona kabisa kuna mwelekeo wa "usaliti"?
Nimewauliza hao walioweka hoja ya usaliti wakiamini Lissu kuingia katika kiitwacho maridhiano kausilit msimamo wake hivyo kawaangusha na wao kwa kuwasaliti na kuamua kukaa mezani na Samuya.Kwanza kabisa usaliti ni nini?
Tundu Lissu akisema kafanya siasa vya kutosha, afya yake si nzuri, anataka kustaafu siasa leo, wengine waendelee na kazi, atakuwa msaliti au si msaliti?
Point namba moja ina harufu ya usaliti.Katika hiyo taarifa ukiisoma hapo unaona kabisa kuna mwelekeo wa "usaliti"?
Lissu kasema ataingia kwenye naridhiano au mazungumzo? Unaelewa kuna tofauti?Nimewauliza hao walioweka hoja ya usaliti wakiamini Lissu kuingia katika kiitwacho maridhiano kausilit msimamo wake hivyo kawaangusha na wao kwa kuwasaliti na kuamua kukaa mezani na Samuya.
Hizo mikakati hazieleweki. Tunachokiona ni matokeo ya mikakati hiyo. CHADEMA wametoa taarifa rasmi kwa umma kwamba Lissu yuko tayari kufanya mazungumzo endapo ataachiwa huru.Linatia wasiwasi kwa nini?
Unafahamu strategy za chama nanza Lissu ni zipi?
Kwani kufanya mazungumzo ni usaliti?Hizo mikakati hazieleweki. Tunachokiona ni matokeo ya mikakati hiyo. CHADEMA wametoa taarifa rasmi kwa umma kwamba Lissu yuko tayari kufanya mazungumzo endapo ataachiwa huru.
Uko sawa kabisa na ndio maana nikasema sina shaka na TAL kama aliongea hivyo mtu akapindisha akitoka ataeleza maana sio mtu wa konakona.Lissu kasema ataingia kwenye naridhiano au mazungumzo? Unaelewa kuna tofauti?
Kama kweli Lissu kasema hivyo, unajuaje kuwa ana nia kweli ya hata kufanya mazungumzo, na hii si njia ya kutoka gerezani, njia ya ku deal na magaidi ili atoke halafu akitoka atajua cha kufanya kwa imani yake?
Yani mnamuona mtu kashikwa na magaidi, kaambiwa aseme maneno fulani ama magaidi yatamuua, anayasema maneno hayo ili asiuawe, halafu mnamwambia asikubali kusema maneno hayo akubali kuuawa?
How fair is that?
Hao wanaosema Lissu abaki gerezani mbona wao hawako gerezani?
Watu ambao hawapo gerezani hawana haki ya kulazimisha Lissu asitoke gerezani.Uko sawa kabisa na ndio maana nikasema sina shaka na TAL kama aliongea hivyo mtu akapindisha akitoka ataeleza maana sio mtu wa konakona.
Hivi we una akili timamu? Amepambana kuliko waliofumuliwa vichwa october 29? Kuna sapoti kubwa kama ile ya october 29?, chadema haikushiriki maandamano lakini vijana waliingia mitaani kwa kupambania ajenda zilizopambaniwa na chadema, hivyo hata lissu ana deni, akitoka huko anatakiwa kuendeleza mapambano, watu wamemwagwa utumbo huku nje , yeye yuko jela lakini shavu dodo, TUNAWADAI
Kwanini watu wanalalamika wamesalitiwa?Nani kasema matarajio ya watanzania ni kwa CHADEMA na LISSU!?
Lissu asijaribu kupata uhuru wake wa kisiasa kwa kutumia damu ya Watanzania. Taratibu za kesi zinajulikana: akipatikana na hatia, apewe adhabu kulingana na sheria; na asipopatikana na hatia, aachiwe huru. Hata hivyo, asitumie damu ya Watanzania kununua uhuru wake.
Imesalliti vipi?Utaingiaje kwenye mazungumzo usipokuwa huru?
Hilo halina ubishi.Samuya ni taahira!
Hili watu wengi wenye uwezo mdogo kiakili ni ngumu sana kulielewa.Mazugumzo siyo maridhiano
Ni nani mwenye mamlaka ya kuamua mtu atoke gerezani katika nchi hii?
Unajua content ya hayo mazungumzo?Point namba moja ina harufu ya usaliti.
Lakini mkuu.
Kwanini ukaribishe mazungumzo na watu ambao walikataa kufanya mazungumzo na wewe kabla ya Uchaguzi wa 29 October!?
Kwa hyo wewe ulitaka afungwe miaka yote huku wewe ukiwa uraiani unaenjoy TU
Sion atakacho tusaliti njia nzur n yeye kuwa huru na KISHA kufanya majadiliano
NIMEGUNDUA KUNA WATU WANANUFAIKA NA LISU KUKAA JELA
Umemsikia Lissu au umesoma/umesikia kauli za Kisabo kuwa "Lissu amesema a,b,c,d!"!!!????Lissu kasema
" Kesi zote zinazomkabili yeye na Chama zifutwe na kwamaba yupo tayari kwa mazungumzo..."
View attachment 3574856
Simfurahii wala simchukii Lissu, na ningependa atoke gerezani haraka. Hata hivyo, tukitafakari kwa utulivu bila hisia, suala la maridhiano lilipaswa kufanyika kabla ya uchaguzi wa Oktoba 29; huo ndio uliokuwa msimamo wa CHADEMA na baadhi ya Watanzania.
Badala yake, kuliripotiwa matukio mabaya yaliyosababisha vifo na madhara makubwa, huku serikali ikiendelea kubaki madarakani.
Baada ya matukio hayo, kuanzisha mazungumzo kunaibua maswali, je, wale waliokataa mazungumzo kabla ya uchaguzi sasa watayakubali baada ya hali kubadilika?
Ninasisitiza kuwa naheshimu Lissu, lakini siweki imani yangu yote kwa wanasiasa.