johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 104,319
- 183,639
Aina wapiga kura wakati ndio chama cha upinzani kilichoongoza idadi kubwa ya vijiji na majimbo uchaguzi uliopita hii kauli yako itapendeza uzungumzee baada ya 2020 tukimaliza uchaguzi.Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.
Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.
2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba Chadema na CUF kupitia UKAWA kwani wale wapiga kura wa Lowassa aliotoka nao CCM ndio waliwapigia na wabunge wa Ufipa pia.
Kwa ufupi ni kwamba sioni sababu za msingi kwa CCM kuhofia wapinzani bali jambo muhimu ni kwa uongozi kushughulika na wapinzani waliopo ndani ya chama.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Kiukweli kuna wakati huwa nasikitika na kushangaa ninapoona makomredi wanaihofia Chadema na ACT wazalendo.
Katika uhalisia Chadema na ACT wazalendo havina wapiga kura wa kutosha bali vimesheheni mashabiki na wengine ni mashabiki maandazi tu wa mitandaoni.
2015 mzee Lowassa ndiye aliyezibeba Chadema na CUF kupitia UKAWA kwani wale wapiga kura wa Lowassa aliotoka nao CCM ndio waliwapigia na wabunge wa Ufipa pia.
Kwa ufupi ni kwamba sioni sababu za msingi kwa CCM kuhofia wapinzani bali jambo muhimu ni kwa uongozi kushughulika na wapinzani waliopo ndani ya chama.
Mungu wa mbinguni awabariki.
Maendeleo hayana vyama!
Onesha ushahidi wa kura kuibwaKama Haina wapiga kura Basi msingekuwa mnaiba kura zetu Sasa.Unavyosema Haina wapiga kura unakosea labda useme tu wapi Ila hawatoshi.Kama CCM Ina wapiga kura wasingekuwa wezi wa kura.Wasingeiibia CUF Zanzibar Wala huku bara inajulikana CCM ni wezi wa kura Ndio maana wanatumia dola kubaki madarakani.Kama isingekuwa dola CCM ingeshatoka tangia 1995
Tulia binti wewe nenda kakate mauno MALAWI babu yenu yupo taabani uko shenzi typ [emoji3]Onesha ushahidi wa kura kuibwa
Unataka ushaidi gani,wa maandishi,wa video,audio au?Mimi ndo Shahidi mwenyewe na 2015 inajulikana,Kuna watu walikimbia na maboksi ya kura ili watangaze wanayemjua.Onesha ushahidi wa kura kuibwa
Weka ushahidi,Unataka ushaidi gani,wa maandishi,wa video,audio au?Mimi ndo Shahidi mwenyewe na 2015 inajulikana,Kuna watu walikimbia na maboksi ya kura ili watangaze wanayemjua.