Eeh mara mnasusa mara mnataka, mara hivi mara vile, come on now tunataka maendeleo sio kila siku tunaongea mambo ya chadema tu na madudu yao kama watoto
katika maridhiano wahusika wa forgery wawajibishwe.
Mkose maendeleo miaka 60 ndio mpate leo kutoka kwa hayo majizi ya kura?
Nadhani unaeumia ni wewe. Seems ulitamani sana viongozi wa CHADEMA waendelee kususa to prove a point. Bahati mbaya huna clue chama kinaendeshwajeSasa ndiyo watapeleka mbona inakuuma sana?
Unaumia ukiwa wapi ndugu?
JiweAfukuzwe na nani?
Mahera na Ndugai walikuwa vibaraka waaminifu mno kwa madudu yote yaliyofanywa na mwendazake katika hujuma na dhuluma zilizotendeka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na hii haikuwa tu upande wa wabunge wenye majimbo, mwendazake alipata tamaa ya kuwamiliki wabunge wa viti maalum kwa upande wa CDM ili jamaa azidi kupata utiifu, utukufu, sifa na heshima ikiwa ni maandalizi ya kimkakati ya kutaka kubadili katiba ili aweze kuongezewa muda wa uongozi.
Lkn bahati mbaya sana Mungu hakufurahishwa na huo ujinga akafanya yake.Mahera na Ndugai walikuwa vibaraka waaminifu mno kwa madudu yote yaliyofanywa na mwendazake katika hujuma na dhuluma zilizotendeka ktk uchaguzi mkuu wa mwaka 2020. Na hii haikuwa tu upande wa wabunge wenye majimbo, mwendazake alipata tamaa ya kuwamiliki wabunge wa viti maalum kwa upande wa CDM ili jamaa azidi kupata utiifu, utukufu, sifa na heshima ikiwa ni maandalizi ya kimkakati ya kutaka kubadili katiba ili aweze kuongezewa muda wa uongozi.
Tatizo hujui nini unaongeaNadhani unaeumia ni wewe. Seems ulitamani sana viongozi wa CHADEMA waendelee kususa to prove a point. Bahati mbaya huna clue chama kinaendeshwaje
Kuna sababu nyingi kwanini uchaguzi hauwezi kurudiwa.Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni..
Kwani kuomba suluhu ya maridhiano ndiyo kuondoa uhalali wa yale mengine yaliyotangulia. Hii ni sawa na kujitekenya mwenyewe, rubbish tupa kwenye dustbinKwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters
Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.
Well, it was just a matter of time
View attachment 1766204
Unamaanisha Nini labda sikuelewi! Kumtambua marehem na utawala wake au? Baba hii ni awamu ya sita chini ya Rais mwingine,kushirikiana na awamu ya sita Haina maana ya kuitambua awamu ya tano over.Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters
Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.
Well, it was just a matter of time
View attachment 1766204
Kwa mujibu wa RAIA MWEMA. Soma jombiiUnamaanisha Nini labda sikuelewi! Kumtambua marehem na utawala wake au? Baba hii ni awamu ya sita chini ya Rais mwingine,kushirikiana na awamu ya sita Haina maana ya kuitambua awamu ya tano over.
Kwa mujibu wa gazeti la RAIA MWEMA la leo 28 April, CHADEMA inataka Mdee na wenzie waondoke/waondolewe Bungeni mara moja ili chama kiweze kupeleka orodha ya wabunge wa viti maalumu kuchukua nafasi ya wale imposters
Msimamo huu mpya wa CHADEMA ni wa kumtambua Rais aliyepatikana kutokana na uchaguzi wa Oct 28 mwaka jana na kupokea ruzuku inayotolewa na Serikali.
Well, it was just a matter of time
View attachment 1766204
Hiyo ruzuku Chadema wameanza kupewa lini?Kuna sababu nyingi kwanini uchaguzi hauwezi kurudiwa.
Hata Mdee na wenzake wakiondoka Bungeni na wasiwe replaced, tutamuondoa na Aidah? Tutazikataa kura za Lissu na hivyo kuikataa ruzuku?
Haya mambo hayahitaji kukurupuka
Kwahiyo wewe imekuchoma kivipi?
Kwanini uchaguzi usirudiwe? kuchanganya halali na haramu maana yake nini? kwanza hata hao wabunge wataoteuliwa na Chadema nao ni haramu coz ni zao la uchaguzi haramu, sitaki kuiamini hii taarifa, hao kina Mdee waondoke then CCM wabaki peke yao kule bungeni.
Chadema wakijaribu kufanya huu upuuzi next time wakichakachuliwa tena sijui watamlaumu nani, vyema wawe na msimamo mmoja usioyumba, uke uchaguzi ulikuwa haramu.