CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Aisee kama ni suala la multi party basi bora Chadema warudishe wale wabunge viti maalum wa 2015, ili ibakie 2020 hapakuwa na uchaguzi.
 
Kama ni kwenye suala la "Give and Take" CCM wapunguze idadi ya viti maalum wao ili kuongezea idadi ya wale waliokuwepo Chadema 2015, then waende wote kama walivyo ukiondoa wahuni 19 kama wapo waliokuwepo 2015 ndio wawe replaced, vinginevyo Chadema kupeleka wabunge bungeni nao wakiingia watakuwa diluted coz nao watakuwa ni zao la ule uchaguzi feki, lile bunge lote litakuwa feki.
 
CHADEMA ilipaswa kupeleka wabunge 19 mara tu baada ya Halima β€œkuforge” barua. Vitu vingine huhitaji hata diploma kuvielewa.
Wasinge pokelewa kwani waliojipeleka wapo waliowahakikishia ulinzi wa kutokufanywa chochote hata na chama chao.Ikitokea hivyo utakuwa ni ushindi mkubwa kwa democrasia ya kweli.
 
Rais aliyepatikana kutokana na uchanguzi wa 28october alishazikwa wewe unaishi wapi
 
Inawezekana wakina mzee Mdee walikuwa sahihi, inawezekana kweli viongozi wa CDM walitaka kuweka wake na vimada wao.
 
ndumila kuwiliπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

sitaki natakaaaa
 
Inawezekana wakina mzee Mdee walikuwa sahihi, inawezekana kweli viongozi wa CDM walitaka kuweka wake na vimada wao.
Mdee alikuwa aende kwa nafasi yake ya mwenyekiti Bawacha, wale ni walafi tu, matumbo yakawafanya wasifuate utaratibu.
 
Hakuna kitu kitakachofanyika.

Hilo jambo ndio limekwisha, wao waendelee kususa tu.

Haiwezekani serikali ikawa inafanywa kama shule ya vidudu.
sasa mumeshikwa pabaya ...mae tulieni tumimine DAWA iwangie vizuri.. shwain nyie
 
Katiba kwani imebadilika!!!
Waacheni waendelee na kazi.. kodi zetu za kulipa wabunge mara mbili mbili hatuna..
 
Gazeti halina tarehe wala jina la mwandishi kana kwamba ni habari hatarishi πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚

Halafu viongozi wa CHADEMA mbona hawajatoa tamko lolote
 
Hao akina Mdee wakitolewa huko Bungeni basi kisiasa watakuwa wamekufa, maana watashambuliwa kila kona na mashabiki wa CDM, kama kuna mabingwa wa kuchafua watu hapa nchini hamna anawafikia CDM, may be Nape anawafuatia, ila kwa mbali sana. Babu Slaa na ubishi wake wote aliwakimbia CDM, akaona bora akawe meneja wa Supermarket, CDM wana midomo michafu sana, watakupa kila aina ya majina. Haya Mzee Mdee karibu mtaani uje ukinywe kikombe ulichojiandalia mwenyewe.
 
Rais aliyepatikana kutokana na uchanguzi wa 28october alishazikwa wewe unaishi wapi
Inaongelewa process ya uchaguzi iliyotoa Rais na kuzaa hiki kinachoitwa Wabunge wa Viti maalumu.
 
Mkuu maadam Rais ana nia ya dhati kuleta muafaka wa kisiasa sioni haja ya kuendelea kususa. Ya JPM aliondoka nayo, wao wakubaliane tu kubadili mfumo wa uchaguzi then 2025 ndio tuta evaluate.

Hata JPM pamoja na ubabe wote aliachia yale makontena wakati wa mazungumzo ili kuonyesha goodwill na kuaminiana kwenye kutafuta muafaka.

Sidhani kama kuna haja ya kususia ushiriki kwa Rais ambaye anatafuta maridhiano maadam hakuwa JPM tuichukulie kama a new beginning.
 
Hizi ni porojo tu wale wabunge 19 Ndugai ndio mwenye msumeno, na kwa namna anavyowalinda Ndugai atakubali kupoteza uspika lakini wale waendelee kubaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…