CHADEMA ina mpango wa kupeleka wabunge wa Viti Maalumu kuchukua nafasi za Mdee na wenzake 18

Nachoipenda CDM hakuna mkubwa kuzidi chama
 
Chadema miayo inatoka unasema hutambui.uchaguzi halafu ruzuku itokanayo na uchaguzi unaitambua na asilimia ya wabunge viti maalumu mgao uliopewa unaitambua !!!aiseee.Tanzania hakuna upinzani asikudanganye mtu
 

Then acheni siasa mkafanye biashara
Nyie aliewambia uchaguzi wa Afrika ni wa kwenye makaratasi ni nani?

Ndio maana mabosi wenu wote wako Ulaya
 
Nyie aliewambia uchaguzi wa Afrika ni wa kwenye makaratasi ni nani?
Unataka kusemaje Chief? Kwamba kuingia kwenye uchaguzi TZ kwa mifumo ya sasa ni kupoteza muda?

Swali ni je, wapinzani hawalijui hili au wanajua vizuri ila wanaingia tu ili angalau waambulie ruzuku kidogo?
 
Unataka kusemaje Chief? Kwamba kuingia kwenye uchaguzi TZ kwa mifumo ya sasa ni kupoteza muda?

Swali ni je, wapinzani hawalijui hili au wanajua vizuri ila wanaigia tu ili angalau waambulie ruzuku kidogo?

Yes ni ruzuku tu ila wanajua fika hawawezi kushika dola never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…