Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo wala dhima ya mikutano yenyewe haifahamiki ni nini, maana ni story na porojo tu za pata potea mwanzo mwisho.
kiujumla,
Mwanzo wa mwisho wa Chadema ni wa tofauti kidogo na vyama vingine vya siasa vilivyotangulia kusambaratika licha ya kwamba kwa sehemu kubwa unafanana, baada ya mafahali wawili ndani ya vyama hivyo kushindwa kujidhibiti hisia zao dhidi ya mapungufu, changamoto, dosari na kasoro zilizomo chamani....
Badala ya kuzitafutia suluhu ya pamoja ndani ya chama chao ,wameamua kuyaanika hadharini, sijui ni kwa maslahi ya nani 🐒
Wacha tusubiri tuone matokeo ya mpasuko huo, ambao wanachadema wenyewe waunakana na kwamba wanadai hakuna mgawanyiko, mpasuko, mwanya wala pengo 🐒