Shooter Again JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 5,603 Reaction score 9,263 Jan 22, 2025 #1 Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
Rasmi sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama cha upinzani, tukutane hapa mwezi wa 11. Nina uhakika 100% na wala haina haja ya kubishana sana.
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 18,611 Reaction score 27,615 Jan 22, 2025 #2 Gunner Shooter said: Rasmi Sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama Cha upinzani tukutane hapa mwezi wa 11 Nina uhakika 100% na Wala Haina haja ya kubishana sana Click to expand... ni kama uchaguzi utakuwa huru, wazi na haki
Gunner Shooter said: Rasmi Sasa nchi inaenda kuchukuliwa na huku chama Cha upinzani tukutane hapa mwezi wa 11 Nina uhakika 100% na Wala Haina haja ya kubishana sana Click to expand... ni kama uchaguzi utakuwa huru, wazi na haki
K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Jan 22, 2025 #3 Kila mpiga kura aende na mawazo ya mtu aliyepigwa risasi 26 na akapona. Ni mteule wa Mungu, hata kipofu analijua hilo. Chadema hoyeeeeeeeee!!
Kila mpiga kura aende na mawazo ya mtu aliyepigwa risasi 26 na akapona. Ni mteule wa Mungu, hata kipofu analijua hilo. Chadema hoyeeeeeeeee!!