Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Dola ni chombo cha usalama wa nchi ambapo ndani yake kuna lengo la kupanga na kuratibu mambo yote ya usalama, kuhakikisha ufanisi wa sera sera na utekelezaji wake katika maendeleo pamoja kuchambua na kutafsiri sheria,sera na kutuza utamaduni.
Sometimes Dola huangaliwa kama ni chombo cha Usalama wa nchi,ila ina maana kubwa zaidi, kuongoza dola kunahitaji weledi mkubwa wa kukubalika katika jamii, muundo wa jamii kuna watu wa aina mbili kama ilivyo pair/jinsi sometimes kuna watu waliosoma na wasiosoma wote hawa wanakutana katika mwamvuli wa jamii, too much know is hamful usomi mwingi unakufanya kuna baadhi ya mambo kuvipuuzia ila kuna wenye makampuni, wafanyabiashara, wanamuziki na wasanii wengine wamebaki kuwa ni ICON ya jamii ya sasa.
Chama cha mapinduzi kimeweka mizizi yake huko kwa wasanii ambao ni propogandanist, wengine hulipwa na wengine hufanya fadhila kwa chama, kueendeleza harakati za kuiduwaza jamii kwa kutumia mitandao ya kijamii au hata kwa matukio ya kawaida, ila CHADEMA wao wanaona maendeleo ya chama ni kupitia nguvu ya wasomi sio mbaya ila bado jamii ya kitanzania ina idadi kubwa ya vijiji ambavyo elimu haijapewa kipaumbele kama tunavyojua ukitaka kutawala akili mnyime mtu elimu.
Wasanii wananguvu kubwa katika kusimamisha dola, japo hapa ni ngumu sana kwa CHADEMA kuvutia wasanii ila wanahitaji mkakati wa kuwashawishi wajiunge katika kinyang'anyiro hichi bila kupoteza amani, rasilimali au familia ila kwa namna ya kuwashawishi kuonesha mabaya kwa kutumia lunga au picha.
Yapo mengi ya kuanisha ila CHADEMA Dola ipo mikononi mwa wavuja jasho sio wavuja jasho wa mtandaoni ila wamaaisha ya chini na wasiowasomi.
FULL STOP.