Uchaguzi 2020 CHADEMA inahitaji kuwezeshwa kifedha maana tofauti na CCM inayotumia rasilimali za Serikali kufanya kampeni haina pa kushika

Zile pesa za kina Lijualikali kumbe kweli zilipigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Maelezo yako ni tatizo la elimu bila maarifa hupaswi kulaumiwa utaekewa taratibu
 
Mlivyotumia vyombo vyenu vya dola kumfilisi unadhani watanzania tumesahau?
 
Bwashee HATUTACHANGA PESA, mmezoea kila uchaguzi kusingizia hamna pesa ili mtukamue. Safari hii tunasikiliza sera alafu tunasepa, HATUTACHANGA

Hamjaambiwa ninyi wa ccm mchango huu ni kwa ajili ya wana chadema na wanaopenda mabadiliko ww tulia hivyo hivyo
 
No ya kuchangia itolewe na idara ya habari chadema tuichangie fasta
 
Zile walizokuwa wanakatwa wabunge ziko wapi? Hizo si ndio zilikuwa na lengo hilo au?
Wanapanga mipango kisha wanashindwa kuitekeleza
Sasa wakipewa nchi tutavugana tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…