Josh Michael JF-Expert Member Joined Jun 12, 2009 Posts 2,523 Reaction score 87 Sep 24, 2009 Thread starter #21 Sasa upo wapi?? Sasa umeamua kufanya nni?? Labda wewe ubaki uwe hivyo hivyo?? basi na wewe ni mmoja kati ya walalamikaji wa kuwa serikali haifanyi kazi?? Acha mara moja
Sasa upo wapi?? Sasa umeamua kufanya nni?? Labda wewe ubaki uwe hivyo hivyo?? basi na wewe ni mmoja kati ya walalamikaji wa kuwa serikali haifanyi kazi?? Acha mara moja