Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,734
- 140,476
Nimesahihisha. kuhusu Chadema,usiniulize kwa sababu na mimi nimeulizaFafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah hakuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha watu...
Viongozi wake ambao ndio nembo ya chama wanampigia chapuo Hosea waziwazi na ni kama ipo kimkakati jinsi wanavyompost.Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha..
Hosea lini alikuwa AG?Kwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.
Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk...
Amerekebisha mkuu, mjadala uendeleeHosea lini alikuwa AG?
Kama Tundu Lisu aliweza kuongoza TLS huyo mbobezi wa sheria Dr Hosea atashindwa nini?Amerekebisha mkuu, mjadala uendelee
Ndg wapi General Hoseah alihusika kwenye Wizi or Ubadhilifu...Huyu ni mtu wa Dini..Msabato aliyeiva Kiimani.. Tuambie wapi alishiriki scandal gani or mojawapo??. Usipende kuwachafua watu bila vivid evidences...Kama na wenyewe wameamua kuunga mkono majizi kama hili na wao wapimwe mkojo tu maana hakuna namna sasa
makorokoro yoote siju EPA siju ESCROW sijui IPTL hakuwa ndio mkamata rushwa mkuu, usabato wake unasaidia nini kama yeye angekua mwanaume angejiuzulu sio analialia tu eti ooh viongozi wangu hawakuwa willing , willing ya mavi kwanini asinge resign hasafishiki huyo kima kwa gia ya usabatoFafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha...
Chadema yenu hiyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS..
Viongozi wake ambao ndio nembo ya chama wanampigia chapuo Hosea waziwazi na ni kama ipo kimkakati jinsi wanavyompost.
Shida ni uongoziKwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS...
Yule dogo Hilda? Vipi Kileo? Hao ni wachache niliopata jumbe zao na hii inatoa taswira halisiKiongozi yupi wa Chadema zaidi ya Boniface Jacob anayempigia chapuo Hosea?
Amandla...
Kwani wewe kama humtaki huyo uliyemtaja unamtaka nani? Tuanzie hapo.Kwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.
Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk.
Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt. Hosea.
Tunataka kujua ni hao viongozi kwa utashi wao binafsi au ni chama kinamtakatisha?
Kama ni chama je, mnatumia vigezo gani kumtakatisha? Ni lini na wapi amekuwa akisimamia yale ambayo watu wenye uchungu na nchi hii wamekuwa wakisimamia?
Ni wapi na lini amewahi kuzungumzia katiba mpya?
Ni wapi amewahi kuzungumzia sheria za hovyo kandamizi kwa demokrasia?
Ni wapi amewahi kuzungumzia uchaguzi 2020 na wizi wa kura?
Na kama itakuwa utashi wa hao viongozi tunawashauri tu jitunzieni heshima.
Dr. Hosea wa nini???Kwa ufupi sana

kwa hiyo dini yake ilimfanya aache rasilimali za nchi zikiporwa?Fafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah akuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha..
Ndg wapi General Hoseah alihusika kwenye Wizi or Ubadhilifu...Huyu ni mtu wa Dini..Msabato aliyeiva Kiimani.. Tuambie wapi alishiriki scandal gani or mojawapo??. Usipende kuwachafua watu bila vivid evidences...