Ryaro ryaro
JF-Expert Member
- Feb 10, 2021
- 377
- 1,170
Mbona Unamchukia Mtu wa Mungu.. Basi tuache tunaomwamini waweze kututumikia maana anao weledi wa Kisheria..makorokoro yoote siju EPA siju ESCROW sijui IPTL hakuwa ndio mkamata rushwa mkuu, usabato wake unasaidia nini kama yeye angekua mwanaume angejiuzulu sio analialia tu eti ooh viongozi wangu hawakuwa willing , willing ya mavi kwanini asinge resign hasafishiki huyo kima kwa gia ya usabato
Msando wa nini? hatumtaki kabisa kabisa. Hana msimamo. Kazi kujikomba kwa watawala tu.Dr. Hosea wa nini???
Huyu ndiye aling'olewa na Hayati kwa kushindwa kudhibiti RUSHWA!!!
Isitoshe he is too old to handle the office!
Yule dogo Hilda? Vipi Kileo? Hao ni wachache niliopata jumbe zao na hii inatoa taswira halisi
jibu hoja mkuu,usikimbilie kwenye ucha Mungu. hatuna chuki tunaangalia maslahi ya nchiMbona Unamchukia Mtu wa Mungu.. Basi tuache tunaomwamini waweze kututumikia maana anao weledi wa Kisheria..
Tatizo la Serikali ya CCM mtu ata akiwa ana sifaa zoooooote kabisa kabisa....tatizo awe Upinzani au kukosea CCM basi hatakiwi!!Wasituchagulie tu huyu anayeitwa Albert Msando. Ni mwanaCCM asiye na chembe ya ubinadamu wala msimamo wala nidhamu wala hoja wala kufikiri wala huruma. Aliamua kujiunga chama chenye vkosi vya wasiojulikana waliowapoteza waandishi wa habari, wanasiasa na kuwapiga risasi wenzao akiwemo Lissu. Itakuwa ni aibu taasisi inayoheshimika kama TLS kuongozwa na Msando.
acha kukurupuka utapotea,, sehemu gani kasema Kama huyo mgombea alikuwa AGFafanua CHADEMA inaingiaje hapo. However, Dr. Hoseah hakuwai kuwa Mwanasheria Mkuu wa serikali bali PCBB Director General. Ebu uwe na Kumbukumbu hacha Kupotosha watu...
acha kukurupuka utapotea,, sehemu gani kasema Kama huyo mgombea alikuwa AG
Bila kutaja jina la Lissu mshono hautulii,kama vipi mzalie mtoto.Kama Tundu Lisu aliweza kuongoza TLS huyo mbobezi wa sheria Dr Hosea atashindwa nini?
Tutashitakiwa MIGAKwa ufupi sana
Dkt. Hosea ni moja kati ya watu wanaogombea urais wa TLS.
Aliwahi kuwa mkurugenzi mkuu wa PCCB. Katika uongozi wake serikali enzi Rais Kikwete serikali ilikumbwa na kashfa kubwa kumbwa kama EPA, Kagoda, Richmond nk.
Nimeona baadhi ya viongozi (sio chama) wakimpa promo Dkt. Hosea.
Tunataka kujua ni hao viongozi kwa utashi wao binafsi au ni chama kinamtakatisha?
Kama ni chama je, mnatumia vigezo gani kumtakatisha? Ni lini na wapi amekuwa akisimamia yale ambayo watu wenye uchungu na nchi hii wamekuwa wakisimamia?
Ni wapi na lini amewahi kuzungumzia katiba mpya?
Ni wapi amewahi kuzungumzia sheria za hovyo kandamizi kwa demokrasia?
Ni wapi amewahi kuzungumzia uchaguzi 2020 na wizi wa kura?
Na kama itakuwa utashi wa hao viongozi tunawashauri tu jitunzieni heshima.
Naunga mkono hoja, Hosea hafai bora Flaviana CharlesKwa ufupi sana

Hiki chama ni mauzauzaYule dogo Hilda? Vipi Kileo? Hao ni wachache niliopata jumbe zao na hii inatoa taswira halisi
Kwanini wewe usiwe na uchungu ukaanzisha chama chako tuone mkuu?CHADEMA sio watu wa kuwaamini hata kidogo. Ni watu maslahi hawajawahi kuwa na uchungu na hili taifa linaloitwa Tanzania
Chama changu ni CCM na kinatosha, chama dolaKwanini wewe usiwe na uchungu ukaanzisha chama chako tuone mkuu?
Kwanini ufuatilie mambo ya chadema badala ya CCM?Chama changu ni CCM na kinatosha, chama dola