LGE2024 CHADEMA inasubiri nini kutangaza kujitoa katika Uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa?

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

G4N

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2014
Posts
4,283
Reaction score
9,925
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza ameubatiza jina la "mashindano ya kujaza fomu"
Ili wamkomoe nani? Vyama vya Upinzani hapa Tanzania ni Chadema pekee? 😁😁😁😁😁
 
Tunakusanya ushahidi wa mwisho kabla ya kutangaza uamuzi.. Kumbuka ni lazima ufuate hata zote kwanza mpaka mwisho kwa faida ya baadae
Hakuna lolote mtagalagazwa mwaka huu na mwakani pia MAMA mpaka 2030
 
Wagombea wa chadema makumi kwa maelfu wameenguliwa nchi nzima kwa sababu zisizo na kichwa wala miguu. Sioni sababu ya kwanini chadema iendelee kushiriki uchafuzi huu ambao Askofu Bagonza ameubatiza jina la "mashindano ya kujaza fomu"
Wewe unafikiri Chadema wakisusa ndo ACT Wazalendo hàwatashiriki? Wasuse tuu kwàni wao ndo wapinzani pekee?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 
Attachments

  • IMG-20241117-WA0032.jpg
    IMG-20241117-WA0032.jpg
    118.5 KB · Views: 5
Tunakusanya ushahidi wa mwisho kabla ya kutangaza uamuzi.. Kumbuka ni lazima ufuate hata zote kwanza mpaka mwisho kwa faida ya baadae
Chama cha Demokrasia na Maendeleo
 
Attachments

  • IMG-20241117-WA0032.jpg
    IMG-20241117-WA0032.jpg
    118.5 KB · Views: 7
Inawezekana kweli walikuwa wanafanya makosa kwenye ujazaji wa taarifa. Nimekuwa naangalia uteuzi katika maeneo mbalimbali, kuna maeneo unakuta kila nafasi gombewa ina mgombea wa Chadema, maeneo mengine unakuta mmoja tu.
 
    118.5 KB · Views: 6
Wewe unafikiri Chadema wakisusa ndo ACT Wazalendo hàwatashiriki? Wasuse tuu kwàni wao ndo wapinzani pekee?

Wengine sio vyama vya upinzani ni maadui wa CHADEMA. Huoni wanavyoishambuliaga CHADEMA .
 
Back
Top Bottom