4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Wajf imani ikatawale popote mlipo.
Andiko langu litakua fupi
Chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema) mpaka sasa kinatoa mchakamcha ambao sio wa kawaida kwa chama tawala CCM kwa speed ya hypersonic kiasi kwamba wafuasi na Viongozi wa chama cha ccm wanashindwa wapi pa kushika na wenda wanajuta kukifaham chama ichi kikuu cha upinzani.
Ukipita katika mitandao ya kijamii mbalimbali ikiwemo jf hata vijana waccm waliopandikizwa huko kujaribu punguza speed bado mambo yamekua magumu sana kwao na sasa vijana wa ccm katika mitandao ya kijamii wamegeuka kuwa watetezi wa chama kikuu cha upinzani Tanzania (Chadema ) badala ya chama chao ccm, vilio kila kona, hii haijawai tokea .
Wenda pia tatizo ikawa sio vijana wa ccm kushindwa katika ujengaji wa hoja zao kwa upande wa pili bali tatizo inaweza kuwa chama chenyewe(ccm) kwa kushindwa mda mrefu tengeneza vijana mahili wenye uwezo wa kupangua hoja kwa logic matokeo yake chama kimezalisha machawa ambao wao huamini katika kusifia na sio katika kujenga chama, kukosoa chama, na kuwa na fikra pana katika kujenga na kupangua hoja za upande wa pili, sasa tunaona wanaanza tetea chama ambacho sicho kinaweza kuwawekea hata bando katika simu zao.
Mwisho
Chadema kamatia hapo hapoubao unasoma 55 kwa 0 upande waccm, vilio ni vikali mno, chadema kabla ubao wenu haujafika 💯 nawambieni tutaanza kuwaona wana ccm wakiongea peke yao barabarani.
Watz tuendelee kuchangia gari ya Mh lissu iwe mvua au jua gari lazima kununuliwa.
Thanks.