CHADEMA Inaweza kuvunja historia ya kutia aibu

Hao watafiti au watabiri?
 
Kwa sasa kulaumu vyama vya upinzani ni kuwaonea.uwanja Wa siasa hauko sawa, kwa sasa ccm imekaa pembeni imewaachia polis kupambana Na upinzani.hivi kama wananchi wanaondolewa kupiga kura, je hao wapinzani wafanyeje?
 
Kwa hiyo hizo figisu wanazofanyiwa wapinzani wewe huzioni, acha kujitoa fahamu basi!
 
CCM wote mnamgwaya Mbowe,bila kumtaja chakula hakishuki.
 
Na wewe kapokee buku7 yako Ufipa.ngoma droo
 
Mbowe anajua kucheza na akili za mazombi
Alipoona presha imekua kubwa,akatangaza kushiri uchaguzii wa serikali za mitaa zikiwa zimebaki siku mbili tu za kujiandikisha tena zile za nyongeza,huku akijua fika kuwa zaidi wa 80% ya wafuasi wa chadema hawakujiandikisha
Mbowe alipoona CAG kaondolewa akatuma mazombi yake mitandaoni yachafue halibya hewa,sasa chadema wapo bize na Assad kuliko Mbowe aliemaliza muda wake kikatiba
Wakistuka ni 2020,mbowe atasema ni mwaka wa uchaguzi hakuna uchaguzi wa ndani,ndio imetoka hiyo
 
Mmekaa kikao na ukoo wenu wa ngedere
Kwaio wameona Wewe ndie unaeweza kuwasilisha pumba za mbao vizuri kuliko wao?
Kawaambie dawa yao inachemka hasa baba yako.
 
Mwanangu kuwa mvumilivu mimi najua maumivu mnayopitia kwani mnaupenda upinzani au mnapenda mabadiliko hila mabadiliko au viongozi wa mabadiliko hawawapendi ninyi (fikiria).
Kufanya siasa nyepesi ni ngumu kupenya hata mngezikri bila nguo ni lazima mtapotea, mbinu chini ya jua haziishi zipo hila mmepoteza kabisa ubunifu. Nadhani sasa imedhihilika kuwa Dr. Slaa ndiyo alikuwa kilakitu mkamtupa na kumkashifu mkampokea Lowasa, yuko wapi lowasa leo. Ndiyo maana tunasema (nyumbu)
Tatizo mnafanya dhambi alafu hukumu au adhabu ikija hamtaki sasa huu ni upumbafu kwani ninyi hamuishi chini ya jua na neno linasema mshahara wa dhambi ni mauti. Sasa hii ni seria ya asili uwezi kukwepa.
Pole kijana wangu.
 
Boss daza steven Nitake radhi, nani kakuambia mimi ni Chadema au Upinzani??? !!!
Siruhusiwi kutoa Maoni na Ushauri???? !!! Au mpaka Maoni na Ushauri wangu ukupendeze au uwapendeze ??? !!!
Badilikeni.
Mimi si CCM, Mimi si Chadema, Mimi si Mpinzani.
Mbona napongeza sana, Mbona Nashauri sana, Mbona Natoa Maoni sana.


 
Natengua kauli na radhi pia kwani huu ndiyo Utanzania kiongozi.
 

Najua nafsi inakusuta kwaulichoandika.
 
Hizi akili za samaki za watanzani ni shida! Hivi unajua hata tofauti ya utafiti na uchunguzi! Hivi polisisiem kukimbia na mabox ya kura au wagombea wa upinzani kuchaniwa fomu zao unafanya utafiti au uchunguzi!
Ungesema uchunguzi unaonyesha mpaka sasa inaonyesha 90% ya wagombea wa upinzani wamefanyiwa figisu hivyo hi aibu kwa silikari inayojivuna inapendwa!!
 
Safari hii ni zaidi ya Chopa 3, Kata 3.

Ni hivi, jiwe hawezi siasa za ushindani na wala hatakaa aziweze. Na uzuri hata wananchi wamempuuza ndio maana hata hawajajiandikisha kupiga kura. Saa hii ccm haishindi bali inajitangaza kushinda.
 
Eti watafiti - unaelewa maana ya utafiti au hiwa unasikia tu.

This crap can come only from an empty mind.
 
Boss daza steven Asante sana Mkuu, Tuungane wote bila kujali itikadi ya Vyama, Vyama hivi vitakuja na kupita, ila UMOJA wetu wa Kitaifa ndio unatakiwa sana. Sote tumsapoti Mh. Rais wetu na kumshauri na kutoa Maoni bila kuvunja Katiba na Sheria za Nchi, Bila Dharau, Bila Matusi, Bila Kejeli, tukiweka Taifa letu mbele.

Boss, Big Up sana, Umeonyesha Uungwana Mkubwa sana.

Natengua kauli na radhi pia kwani huu ndiyo Utanzania kiongozi.
 
Mnasema chadema hawana sera mda huo huo wakitoa sera zao, wakikosoa na kutoa mapendekezo yao kama chama pinzani mnawapa kesi na kuwaita wasaliti na wanatumiwa na mabeberu, ebu mjitafakari, sifa ya ushindi ni ushindani , mjipime kwa izi chaguzi kuona upepo wenu kwa wananchi sio kujidanganya mnapendwa wakati mnazurumu haki za wengine kushiliki kwenye chaguzi.
 
Mbinu ya kupita bila kupingwa
Haki ya nani Mimi ningekuwa mchawi ningeloga ma-ccm yote! Mwenyekiti wao ningemtia wazimu chapchap aanze kunywa mikojo ya watu kwenye vile vimtungi vya kukojolea! Hamwezi kutuharibia nchi iwe kama Burundi pumbavu kabisa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…